Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Binafsi nalia na vyama vya wafanyakazi kwa kulifumbia macho jambo hili
 
LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO:

Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.

Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye simu tozo. Mnataka tuende wapi? Juzi nimetuma crdb to crdb nimeliwa 7500 huku nmb napo wanachukua tozo.

Kwenye simu miamala moto unawaka. Tunaumizana sana nchi hii

View attachment 1977815
Tra wanajisifu kukusanya kodi kubwa kumbe wanachofanya kuwaumiza walipa kodi wachache yani sasa hv kila sehem kodi imezidi sana...badala ya kuongeza vyanzo vya mapato wanaumiza wachachs is not fair
 
Mwanamke aliumbwa kulea familia siyo majukumu mazito ya kuongoza taifa nipeni hiyo katiba nichane ule ukurasa.
 
Huu ni ujumbe niliotumiwa na tawi la NMB na baada ya kufuatilia ili kupata Maelezo ya kina nikajibiwa kuwa kwa sasa miamala yote inayofanyika kwa njia za simu kupitia benki inatozwa tozo ya serikali. Hapo nyuma haikuwepo. Ujumbe ni huu:-
"Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti".
Kwa tuliodhani kuwa miamala ya simu kwenda ama kutoka benki ni nafuu hiyo haipo hivyo tena!!!!
 
Kwa iyo ile PAYE iliyopunguzwa kwa 2% sasa imehamia kwenye miamala ya benki. Watumishi wa umma na wa serikali kazi tunayo. Bora sasa warudishe kupokea mishahara dirishani watatuuwa bure aseee. Mama endelea kuupiga mwingi na mwingine
 
Nmb walinijibu..
Screenshot_20211019-130202_WhatsApp.jpg
 
Hasara hasara hasara. Huu utawala hauna tofauti na ule wa Bwana Edgar Lungu!
 
Back
Top Bottom