H ho chi minh JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 32,904 Reaction score 163,073 Aug 19, 2022 #301 Acha watuangamize watakavyo tu maana Hatuna wawakilishi tena. Unauza bidhaa unakatwa kodi, unatoa pesa benki wanakata, tozo linapitia palepaleunabakiwa na nini kama si kumuongezea mtu wa mwisho gharama za maisha?
Acha watuangamize watakavyo tu maana Hatuna wawakilishi tena. Unauza bidhaa unakatwa kodi, unatoa pesa benki wanakata, tozo linapitia palepaleunabakiwa na nini kama si kumuongezea mtu wa mwisho gharama za maisha?
Wazolee JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,183 Reaction score 3,660 Aug 19, 2022 #302 Opportunity Cost said: Lipa kodi hakuna cha bure duniani Click to expand... Watu wanazungumzia tozo broo sio kodi Yawezekana kabisa wewe ni muhitimu wa chuo lakini haujui kodi nini, tozo ni nini na bank charges ni nini? Sio kosa lako elimu ya bongo ndivyo ilivyo Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Opportunity Cost said: Lipa kodi hakuna cha bure duniani Click to expand... Watu wanazungumzia tozo broo sio kodi Yawezekana kabisa wewe ni muhitimu wa chuo lakini haujui kodi nini, tozo ni nini na bank charges ni nini? Sio kosa lako elimu ya bongo ndivyo ilivyo Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app