Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Chuma kishabuma tayari.
Kuna mfumo wa wizi, ubadhirifu na uhujumu uchumi. Ni mfumo, tena ulioasisiwa kabisa toka "god-knows-where"Barabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.
Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Kusema wakata tiketi ni wezi ni kutojua tatizo liko wapi. Lakini kwanza elewa: sipingi kuwa ni wezi. Infact watanzania wengi ndivyo tulivyo. Kiini cha tatizo: uongozi wa CCM. CCM ime-fail kabisa. Viongozi wake wengi ni wezi na mafisadi ukianzia kwa top wao Samia. Usitegemee wafanyakazi wa chini waache kuiba wakati juu ndiyo kumeoza. Kama mkuu wa majeshi, kama mkuu wa usalama, kama mkuu wa polisi, kama mkuu wa nchi na mawaziri wengi ni wezi, kwa nini wafanyakazi wa chini wenye kipato kidogo kuliko hao viongozi mara milioni moja wasiibe?Barabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.
Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Umepiga kwenye mshono. Tatizo liko kwa viongozi..... ni wezi kuliko wafanyakazi wa chini.Kuna mfumo wa wizi, ubadhirifu na uhujumu uchumi. Ni mfumo, tena ulioasisiwa kabisa toka "god-knows-where"
Usifikiri watawala hawajui, sema wao ni sehemu ya yote yanayotendeka.
Mwafrika na ustaarabu ni mbingu na dunia!!
Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!
CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
Mimi niko kwenye rekodi, ni mmoja ya watu waliopinga sana huu ujinga wanaoita eti ''mwendo kasi''. Ni njia za kuiba tu. Kwa nini hawakujenga barabara halafu watoe specification za mabasi yanayopaswa ku-operate hizo njia na watu binafsi waweke daladala zao? Tangu lini serikali ya Tanzania ilianzisha mradi ukafanikiwa?Barabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.
Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Huwezi kujiandikia ujinga tu kama huu.Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.
Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.
Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.
Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.
Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.
TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Hili si ndiyo haya "mapya"? Au walikuwa wanaangalia jinsi wanaweza kuliharibu?
Public insfrasttructures kama public transport huwa haziingizi faida duniani kote, nenda china fast train zao haziingizi faida, ukienda marekani postal service zao haziingizi faida. Hii ni miradi inayokuwa funded na serikali kwa lengo la kumsaidia mwananchi maisha yake kuwa rahisi na sio kutengeneza faida.Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.
Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.
Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.
Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.
Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.
TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART