Mabingwa wa Kuharibu: Toka Mabasi 140 hadi 30

Mabingwa wa Kuharibu: Toka Mabasi 140 hadi 30

Wameharibu ili wajipimie kwa urefu wa kamba zako kupitia "mwekezaji binafsi" huyo MOFAT iliombwa profile yake humu halisi hakuna jibu na nilishangaa watu wakiamini wangepewa bila kujua huyo MOFAT halisi wangemjua wangebaki na mshangao maana ni uwanja wa sarakasi ni ule ule kilichobadilika ni aina ya sarakasi tu.
 
Katika Usafiri wa UMMA ambao ni Service lazima uwe affordable.., kwahio no matter ni pesa kiasi gani inakuwa charged Je huyu Raia ambaye ni nguvu kazi anaweza akaimudu ?!!!

Ndio maana nilishasema kitambo hapa dawa ni usafiri wa UMMA (affordable na hata kupeaw ruzuku) na Watu binafsi kila mtu afanye kivyake kwenye soko Huria (binafsi hata akicharge laki moja moja) na kama kuna soko all the best; ila mbangaizaji awe na alternative ambayo itakuwa affordable (italipiwa kwa ruzuku pamoja na economy of scale) kama raia ni wengi kidogo kidogo kingi sio haba; after all watasave kwenye petroli (watumie CNG na makodi na matozo yote wao watakuwa hawachajiwi)

Serikali iachie biashara zote na kujikita kwenye mambo machache tu (usafiri in competition with private) ; (Nishati in Competition with anyone); (Afya in competition with anyone) na karne ya Teknolojia (TTCL in competition with Whomever) bila kusahau Banking na (Affordable Housing to offer alternative)...

Bila ya hivyo hii shika shika ya huku na kule ni kunufaisha watu kwenye PPP's kuwapa insurance na upenyo wa kula kodi ya raia...
Agreed 👍
 
Daladala mbezi kariakoo ilikuwa haifiki hata elfu moja na faida walikuwa wanapata na ushindani juu
Different products hizo. Hii ya Mwendokasi inaitwa BRT (Bus Rapid Transit). Dalala ni City bus system. BRY ni WB model wakati city buses ni local system
 
https://www.orr.gov.uk/sites/default/files/2024-03/track-access-guidance-charging.pdf

Wanachojaribu kufanya ni kitu kama hiko ☝️huo ni utaratibu wa railway operation panapo private lines.

Hiyo ni biashara kichaa serikali ina gharamia na kujenga miuondombinu; utumiaji ni private.

Kabla ujapewa route (private business) kuna condition. Kutumia route serikali inapiga kwanza hesabu zake za mrejesho wa deni la gharama za miundombinu, ina anticipate costs za road maintenance annually na passenger volume (kwa demand ya peak hours) ili wafahamu waletę mabasi mangapi kwa schedule ya dakika ngapi za kusubiri ili kusiwe na msongamano vituoni.

Swala maintance na upkeep la miundombinu linakuwa la serikali (nadhani ndio msingi wa DART na swala operation ya mabasi ni private (sometimes kuna ubia wa serikali).

Sasa kabla ujapewa route private operators hesabu zako zinaanza; ‘Track Access Costs’ (TAC’s) ni kama toll charge. TAC include fixed costs ya ‘Infrastructure charge costs’ (ICC) hizi ni gharama za deni ambazo serikali inabidi ilipe kwa ujenzi wa barabara, jumlisha na maintance costs za matumizi ya barabara. Kwa kifupi (TAC = ICC + maintance costs) hizo ni fixed na variable costs unazoanza nazo.

Sasa uje kwa operator on top TAC’s na yeye ana services costs zake na fines labda kama akishindwa kutoa huduma mfano mabasi mengi yapo garage anasababisha bottle neck ya usafiri kwa abiria kwa sababu za uzembe.

Panapo ruzuku ya serikali imetumika kwenye ununuzi wa mabasi asilimia zao ya faida kama ni 30% utajua utakapoitoa, kama wafanyakazi wako wote wanachukuliwa ni waajiriwa wa serikali mishahahara yao na pension zao lazima ulipe. Ni biashara kichaa wao wakiona private companies zinaendesha railway huko kwa wazungu wanadhani ni rahisi tu, condition zake za kupewa hizo route huko not for faint hearted individuals.

Kwa kifupi ni kwamba ukienda kununua mabasi ambayo ni salvage value kutoka kwa kampuni moja huko uarabuni au sijui nchi gani iliyoendelea, hapo ujue huna biashara kuna sababu za msingi sana kwa nini wao wanabadili. Washakamua life ya hayo mabasi na kurudisha hela yao, hiyo salvage value ni kwa sababu baada ya hapo hayo magari hayahitaji regular schedule maintenance kwenda mbele maana yake yataanza kuwa na matatizo ya engine failure.

Sasa nchi zilizoendelea hayafanyi biashara kichaa wanauza mapema na kubadili hawa wawekezaji wetu uchwara wanaenda nunua hayo mabasi at salvage price, wanafanya cosmetic changes lakini si muda mrefu mabasi yanaishia garage.

This is why saa zingine uwa nawaita hawa watu wa serikali hasa civil servants ni mataahira, watch this space sio muda mrefu na haya mabasi wanayoyaleta yatakuwa chali.

Busara ni huyo mama Kilaza kuachia ngazi nchi inachezewa sana, watu wanalilia hizi tender za PPP hata huo weledi wenyewe wa biashara hawana.

Banana republic, taahira kama Kafulila atakushauri jambo gani la maana zaidi ya ujinga tu anao ongea.

……………………….

Huwezi kujiandikia tu mambo na kupinga hesabu za serikali.

Ni akili kama hizi za watetezi wa mafisadi hizo biashara zinakuwa doomed from the outset.

Lakini watanzania sisi ni wavivu sana, tuna hii tabia ya kufikiria mambo tu kutoka vichwani mwetu na kuamini that’s how things work or ought to work,

Biashara science.

Tutarudi hapa tena sio miaka mingi na wengine kusema we told you so.

Sasa we dhani nimejiandikia tu ujinga.

Kaazi kweli kweli
 
Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.

Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.

Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.

Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.

Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.

TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Mkuu usafiri wa Umma unaotolewa na serikali hua ni huduma na sio biashara na hii ni kwa nchi nyingi tu,

Kuna nchi ambayo wao wamefikia stage ya kua usafiri wa umma ni bure,free public transport.
 
Na nilishakuwa kiongozi wa taasisi kubwa kuliko hiyo ya mabasi
Ndio maana serikali haijawahi kuwa na ufanisi, coz watu kama nyie mnapewa dhamana na mnachofanya ni wizi, ufisadi na hakuna huduma kwa wananchi.
 
Huu mradi wa Mwendokasi umeharibiwa kwa manufaa ya kikundi Fulani. Haingii akilini biashara isiyokuwa na mshindani kuporomoka kwa kasi hivi
 
Alieuua huu mradi ili aingize magari ya CCM kwenye mradi huo Mungu anamuona
 
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!

CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
Hiyo ndio CCM na serikali yake.

Ndio maana anayeshabikia CCM huwa namshangaa sana.
 
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!

CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
Utadhani mabasi ni kama "Disposable item" ambayo unatumia kwa muda mfupi kisha kutupa!

Wafanyabiashara binafsi wanatumia mabasi kwa miaka 20; hata zaidi. Na bado yapo kwenye hali nzuri.
 
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!

CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
Ni aibu sana nchi hii. Aibu nyingine inakuja kwenye inshu ya ujenzi wa uwanja wa Taifa.watu wanajipigia tuu.
 
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!

CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
Sikio la dawa haliwezi sikia kifo!! That means lishakua sugu!!
 
Back
Top Bottom