Mabingwa wa Kuharibu: Toka Mabasi 140 hadi 30

Huwezi kujiandikia ujinga tu kama huu.

Biashara zina hesabu, si ajabu nauli ya serikali zikawa sahihi kuliko zako.

Halafu serikali ina jukumu la kumlinda mlaji katika mambo kama haya; nauli upanga wao au uthibitisha fairness kwa kuzingatia gharama za mwendeshaji.

Huwezi kusema serikali haiko sahihi bila ya justifications.
Mkuu mbona unatoka povu?? Mimi nimesoma mchanganuo wa mradi wa mabasi ya mwendokasi ulioandikwa na Simon Group wakati anaomba mkopo wa mabasi.

Tulia jifunze kwa wenye data
 
Public insfrasttructures kama public transport huwa haziingizi faida duniani kote, nenda china fast train zao haziingizi faida, ukienda marekani postal service zao haziingizi faida. Hii ni miradi inayokuwa funded na serikali kwa lengo la kumsaidia mwananchi maisha yake kuwa rahisi na sio kutengeneza faida.
Nakubaliana na wewe. Je kuna subsidy yeyote ya nauli UDART wamewahi kupokea kutoka Serikalini toka 2014??

Kukosekana kwa hiyo subsidy ndiyo kumepelekea mradi upungukiwe mabasi kutoka 140 hadi 30
 
Tatizo kila mtu anapiga hela hata ya spare ikitoka inatafunwa kuanzia juu mpaka chini..huu mradi wakabidhiwe tu jeshi waufanye maana kama ni faida tusahau ..huduma ndo holla kabisa.
Kwanini haujui kuwa sehemu ya wasimamizi wakiwemo madereva ni hao wanajeshi ?
 
Nchi inatia Hasira sana Wakuu. Na Sisi watz tumezidi Upole Sana Wakuu.

Mpaka hapa tulipofikia tumevumilia Sana hebu Fikiri Mradi Una Mda gani mpaka Sasa?

Watanzania tunachojua ni Kususia tu baada ya kukerwa na jambo ila si kudai Mabadiliko Hili ndio Tatizo kuu kuliko hilo la Watawala.
 
Barabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.

Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Huu wizi wa tickets waliutaka serikali wenyewe kuwaondoa MaxMalipo na mfumo wao wa electronic na eCards zao.
Walipoleta ticket za kuchapisha kabla kisha unaonesha inachanwa tu bila kufanya scanning waliruhusu fake tickets.
 
Mkuu mbona unatoka povu la kipumbavu?? Mimi nimesoma mchanganuo wa mradi wa mabasi ya mwendokasi ulioandikwa na Simon Group wakati anaomba mkopo wa mabasi.

Tuliza makalio ujifunze kwa wenye data
Hayo sio maswala ya kusoma ni maswala ya ku-evaluate and analyse.

Vinginevyo kila mtu anaweza andika ujinga aina maana ni sound business plan.

Yaani ule ujinga ulioandika unadhani kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe.

Stupid

In your little pathetic head unadhani maswala ya biashara yanaandikwa kwa ujinga ulioandika.
 
Na wakati yanaharibika yanafikia 100, 90, 80, 70, 60 mpaka hayo 30 yeye na wenzake walikuwa hawajagundua tu ? Nadhani ifike wakati tuwalazimishe hawa wafanyakazi wa UMMA watumie Usafiri wa UMMA sababu inaonekana wapo out of touch.....

Yaani maji yalishamwagika kitambo unakuja kutuambia leo ? Huenda tatizo ni hao waliopo juu ya Chain majizi wanajua hili ni shamba la bibi kwahio wanajichukulia (ingawa huenda na wao ndio wanufaika wakuu wa huo mparaganyiko alafu wanajifanya kushangaa)
Imagine anakuja kusema hayo baada ya mradi ku- collapse kama waziri mkuu mwenye dhamana alikuwa wapi siku zote

Ndio tatizo la kupeana vyeo Kwa kujuana na kulipana fadhila ikitokea Yule uliye mpa cheo Kwa kujuana Nae kisa mshikaji wako akitenda hovyo na kufanya ufisadi unashindwa kumuwajibisha mwisho wa siku nchi Ina collapse

Yaani watu wanaleta Ujinga kwenye maslahi ya imma na Taifa Kwa ujumla hii nchi ni failed state
 
Barabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.

Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Hapo ndio shida ya afrika inapoanzia,hao waliofelisha huu mradi watapangiwa majukumu mengine,ingekua kwa wenzetu wangeshtakiwa kwa uhujumu uchumi,china ndio wangenyongwa kabisa
 
Chuma nzuri za BRT ni za umeme, UDART waachane na hizi za mafuta au gesi.

Nchi nyingi duniani wanacheza na pure electric buses kwenye miradi ya BRT kwa ajili ya cost effecient transportation

Mbona Golden Dragon wana pure E-buses wazilete hizo kupunguza running and maintenance costs

Lagos wanatumia hizi Yutong za umeme, chuma zinakwenda 280km at full charge.

20251004_120610.jpg
​

20251004_120613.jpg
 
Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.

Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.

Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.

Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.

Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.

TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART

Nauli hata kama ingekuwa 10,000/- kusingekuwa na tofauti yoyote.

Kipi chao kinakwenda sawa? Ni TRA, TANESCO, TTCL, ATCL, TBC, Uchafuzi, CCM, Wahakama, Wagereza au folisi?

Labda kujitoa ufahamu!
 
Nasikia wameongeza magari mengine, fursa nyingine hii wandugu, ngoja nikapige pesa maana nilikua likizo...
 
Hayo sio maswala ya kusoma ni maswala ya ku-evaluate and analyse.

Vinginevyo kila mtu anaweza andika ujinga aina maana ni sound business plan.

Yaani ule ujinga ulioandika unadhani kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe.

Stupid

In your little pathetic head unadhani maswala ya biashara yanaandikwa kwa ujinga ulioandika.
Mithali 26:4 Usibishane na mpumbavu usije kuwa sawa na yeye. I log off
 
Msukuma alisema wamkabidhi yeye huo mradi uone utakavyoingiza faida ,alisema haiwezekani gari imeharibika kutengeneza mpaka umsubiri CEO ambaye amesafiri kwenda kwenye mkutano ambao anakaa karibia mwezi...Gari kuweka mafuta mpaka usibiri sahini ya mkurugenzi.
 
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!

CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
ukisikia mtu anajipiga dole alafu ananusa ndio mambo kama hayo sasa
 
Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.

Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.

Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.

Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.

Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.

TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Watu kama wewe ndio mnapewa dhamana kuongoza vitengo/idara.
 
Katika Usafiri wa UMMA ambao ni Service lazima uwe affordable.., kwahio no matter ni pesa kiasi gani inakuwa charged Je huyu Raia ambaye ni nguvu kazi anaweza akaimudu ?!!!

Ndio maana nilishasema kitambo hapa dawa ni usafiri wa UMMA (affordable na hata kupeaw ruzuku) na Watu binafsi kila mtu afanye kivyake kwenye soko Huria (binafsi hata akicharge laki moja moja) na kama kuna soko all the best; ila mbangaizaji awe na alternative ambayo itakuwa affordable (italipiwa kwa ruzuku pamoja na economy of scale) kama raia ni wengi kidogo kidogo kingi sio haba; after all watasave kwenye petroli (watumie CNG na makodi na matozo yote wao watakuwa hawachajiwi)

Serikali iachie biashara zote na kujikita kwenye mambo machache tu (usafiri in competition with private) ; (Nishati in Competition with anyone); (Afya in competition with anyone) na karne ya Teknolojia (TTCL in competition with Whomever) bila kusahau Banking na (Affordable Housing to offer alternative)...

Bila ya hivyo hii shika shika ya huku na kule ni kunufaisha watu kwenye PPP's kuwapa insurance na upenyo wa kula kodi ya raia...
 
Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.

Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.

Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.

Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.

Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.

TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Daladala mbezi kariakoo ilikuwa haifiki hata elfu moja na faida walikuwa wanapata na ushindani juu
 
Back
Top Bottom