Mkuu mbona unatoka povu?? Mimi nimesoma mchanganuo wa mradi wa mabasi ya mwendokasi ulioandikwa na Simon Group wakati anaomba mkopo wa mabasi.Huwezi kujiandikia ujinga tu kama huu.
Biashara zina hesabu, si ajabu nauli ya serikali zikawa sahihi kuliko zako.
Halafu serikali ina jukumu la kumlinda mlaji katika mambo kama haya; nauli upanga wao au uthibitisha fairness kwa kuzingatia gharama za mwendeshaji.
Huwezi kusema serikali haiko sahihi bila ya justifications.
Nakubaliana na wewe. Je kuna subsidy yeyote ya nauli UDART wamewahi kupokea kutoka Serikalini toka 2014??Public insfrasttructures kama public transport huwa haziingizi faida duniani kote, nenda china fast train zao haziingizi faida, ukienda marekani postal service zao haziingizi faida. Hii ni miradi inayokuwa funded na serikali kwa lengo la kumsaidia mwananchi maisha yake kuwa rahisi na sio kutengeneza faida.
Kwanini haujui kuwa sehemu ya wasimamizi wakiwemo madereva ni hao wanajeshi ?Tatizo kila mtu anapiga hela hata ya spare ikitoka inatafunwa kuanzia juu mpaka chini..huu mradi wakabidhiwe tu jeshi waufanye maana kama ni faida tusahau ..huduma ndo holla kabisa.
Huu wizi wa tickets waliutaka serikali wenyewe kuwaondoa MaxMalipo na mfumo wao wa electronic na eCards zao.Barabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.
Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Hayo sio maswala ya kusoma ni maswala ya ku-evaluate and analyse.Mkuu mbona unatoka povu la kipumbavu?? Mimi nimesoma mchanganuo wa mradi wa mabasi ya mwendokasi ulioandikwa na Simon Group wakati anaomba mkopo wa mabasi.
Tuliza makalio ujifunze kwa wenye data
Imagine anakuja kusema hayo baada ya mradi ku- collapse kama waziri mkuu mwenye dhamana alikuwa wapi siku zoteNa wakati yanaharibika yanafikia 100, 90, 80, 70, 60 mpaka hayo 30 yeye na wenzake walikuwa hawajagundua tu ? Nadhani ifike wakati tuwalazimishe hawa wafanyakazi wa UMMA watumie Usafiri wa UMMA sababu inaonekana wapo out of touch.....
Yaani maji yalishamwagika kitambo unakuja kutuambia leo ? Huenda tatizo ni hao waliopo juu ya Chain majizi wanajua hili ni shamba la bibi kwahio wanajichukulia (ingawa huenda na wao ndio wanufaika wakuu wa huo mparaganyiko alafu wanajifanya kushangaa)
Hapo ndio shida ya afrika inapoanzia,hao waliofelisha huu mradi watapangiwa majukumu mengine,ingekua kwa wenzetu wangeshtakiwa kwa uhujumu uchumi,china ndio wangenyongwa kabisaBarabara yao njia nzima hakuna daladala nyingine,hakuna foleni abiria uhakika (uhakika wa pesa ni mkubwa) unafeli vipi huu mradi.
Wakata tiketi ni wezi vibaya mno.
Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.
Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.
Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.
Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.
Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.
TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Mithali 26:4 Usibishane na mpumbavu usije kuwa sawa na yeye. I log offHayo sio maswala ya kusoma ni maswala ya ku-evaluate and analyse.
Vinginevyo kila mtu anaweza andika ujinga aina maana ni sound business plan.
Yaani ule ujinga ulioandika unadhani kila mtu humu ni mpumbavu kama wewe.
Stupid
In your little pathetic head unadhani maswala ya biashara yanaandikwa kwa ujinga ulioandika.
ukisikia mtu anajipiga dole alafu ananusa ndio mambo kama hayo sasaWaziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!!
CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu vyetu ili walete vya kwao
Watu kama wewe ndio mnapewa dhamana kuongoza vitengo/idara.Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.
Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.
Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.
Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.
Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.
TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Katika Usafiri wa UMMA ambao ni Service lazima uwe affordable.., kwahio no matter ni pesa kiasi gani inakuwa charged Je huyu Raia ambaye ni nguvu kazi anaweza akaimudu ?!!!Tatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.
Hiyo ndiyo bei inayoweza kulipa ghharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji na riba za Benki.
Mradi ulipoanza ulianza kwa Serikali kuingiza Siasa ndipo UDART wakaambiwa wa charge Tsh 1,300 kwa round trip au Tsh 650/= kwa trip ya kwenda tu.
Gharama kubwa sana ya kuendesha UDART iko kwenye Workshop (Karakana). Karakana siyo revenue centre kama yalivyo mabasi, instead yenyewe ni cost centre. Inakula tu na haizalishi.
Hiyo tofauti ya Tsh 3,000 ya kwenye upembuzi yakinifu na ile Tsh 1,300 ya Serikali ambayo imelazimisha ni Tsh 1,700.
Kwa hiyo kila abiria wa Mwendokasi anakokwenda Kariakoo na kurudi anatengeneza hasara ya Tsh 1,700.
TUSITAFUTE MCHAWI, SERIKALI NDIYO CHANZO CHA KUDORORA KWA UDART
Daladala mbezi kariakoo ilikuwa haifiki hata elfu moja na faida walikuwa wanapata na ushindani juuTatizo la UDART ni wrong business model wanayo operate. Kutokana na mahesabu ya miradi UDART za 2013, gharama ya tiketi ya Mbezi- Kivukoni - Mbezi (round trip) ilipaswa kuwa Tsh 3,000 au Tsh 1,500 kwa saffari ya kwenda tu.