Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Nikate tamaa kwa nyie MAFURUSHI? 😹😹
Hivi nyie mnawazaga wanawake wote tunawaza kufua viboksa vyenu vilivyopigwa na changamoto mpk vimetoboka?!! Eti Eehh 😝😹😹
Kwa hiyo sasa hivi unaigawa bure tu bila ndoa, sema ulishakuwa Mshangazi
Nani alikudanganya kuolewa ni kwenda kufua boksa
 
Na sahivi ukiingia Facebook aisee kuna lundo la wanawake balaa wanaotafuta wanaume wa Rika ulilolisema na wengine single mothers ila cha kushangaza sasa mtaani hawaonekani na wengine wana nyodo balaa ata salamu tu anaweza hasikuitikie ,wanaangalia watu kwa muonekano na pesa
 
Mkuu hapa unanisema mimi, mchumba wangu hajui nipo naye sababu kuna mtoto nilimkosa aseee
 
We hujatembea, kuna chuma moja hivi ina 27 lakini ni moto yule ni 10 aseee
 
Sema mkuu ujue ndoa na uzuri ni vitu viwili tofauti
 
Nikate tamaa kwa nyie MAFURUSHI? 😹😹
Hivi nyie mnawazaga wanawake wote tunawaza kufua viboksa vyenu vilivyopigwa na changamoto mpk vimetoboka?!! Eti Eehh 😝😹😹
Mkuu hebu kuwa na heshima, ndio kuolewa sio lazima na mimi naamini hivo sababu kila mtu ana uhuru wa kuamua juu ya maisha yake. Lakini kusema watu wanaolewa wakafue boksa sio sahihi.

Na hio haiwezi kuwa sababu ya msingi kumfanya mtu aamue kutokuolewa.
 
Kwahiyo hawafui mnafua wenyewe? 😹

Basi nimeacha kiongozi, ila huyo nilimpokea km alivyokuja..!!
 
Ww umeshafikisha ukomo wa umri wa kuolewa, hvy acha kushiriki kuwadanganya mabinti khs umri wa kuolewa
😹😹😹 Mwisho miaka mingapi maana huku kuna bibi jmosi anaolewa na tajiri wa mafuta.. tena ndoa ya 5 na babu ana mkwanja mrefu..!!

Nyie wanaume wa sasa hivi mnasifiana mna vitraco vitamu hata mkiwaoa hao mabinti mtawatoroka muende mkacheze mnakochezaga (Matopeni) 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…