Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Kiongozi hukai uswahili,ukiwa uswahilini wala huwezi kuuliza wako wapi,ni wengi mno
 
Bongoflavor ya kisasa inachangia badala ya kutoa nyimbo zenye kuonya, kukanya zimejaa kuhamasisha ngono. Watu hawajui tu ila ni janga
 
Miaka 30 siyo sheria kali?
 
Kwa hiyo mitusi yote hiyo kisa bia.Hahahaaaaaaa
 
Anataka waje wavae sare na katoto kake wapige picha ili apost instagramu.
 
Kama ndiyo hivyo ni kupokea matokeo tu hamna namna.Mzazi au Mlezi ndo mjenga msingi,wanaofuata baada yake ni wainua kuta na finishing tu.Msingi ukiwa legelege hiyo nyumba itasimamaje?.
Majumbani watoto wanashinda na mahousegirl wazazi wako busy kusaka ela ndomana nikasema shuleni watoto wafundishwe
 
Wanaume tuna onewa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.

Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.


Miaka kumi ijayo watakuwa na watoto wakiwa na miaka 10 wa wakiwa na 25-29...hamna la zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…