Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Lyrics
Safari - Nikki Wa Pili
...
where is money oh!!
where is my honey njoo
Bila we ni presha nakesha
ah tupendane safari ya mapenzi kitaani
aziza Anita Anne
toka Nani anitukane
eti Sina pozi Sina money
niweke pozi au nikuchane
nikupe Kiki ujulikane
hakuna Kiki just fun
Sina mshahara Ila sholout
mziki biashara
wananitaka leo wakina Sarah
sio me sio joh sio g warara
watoto wanaipenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto mkali
I love u waubani (2)na huku I love
ur money ( uh uh eh)
I love u waubani (money') na huku I love my money
man me na we sijali
safari is not fun
jaman Hawataki kunicrown me
usijali hakianani
dem alidhani me ni jigga
nikakuacha akidhani nitapiga
hakuna gold wacha digger
utachezea wazungu wa nigga
mashoping kutwa kwa maduka
saluni mawigi kusuka
madiscko majoka kuruka
na jina nimwandike kwa chupa
kwa miguu ata nikamaliza moka
mie bado sikua Kanye
kumbe kasister du kitambo kalikua Kardashian
hakuna kitu kichwani dash Yan
watoto wanapenda asali
watoto hawapendi ukali hawapendi safari maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto .mkali
where is my money oh
where is my honey njoo
bila we ni presha nakesha na we (2)
I love u waubani na huku I love ur money
I love u waubani na huku I love my money
I love my money
utanipiga deki nikikudekeza
maisha safari ndo kuwekeza
Mara nataka I phone mmmh!!
nikakanunulia apple kakatafuna Kisha nikakatafuna
kakataka out nikakatoa nje kakapigwa upepo nikakaimbia xo
mapenzi mama ntakupa pepo
Mambo za Nini em karibu depo
mie ni zero juu yako simama pembeni kushoto tukamilishe kumi
watoto wanapenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari
maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto mkali eh oooh.
where is my money oh
where is my honey njoo
bila we ni presha nakesha na we ( 2)
i love u waubani na huku I love ur money
I love u waubani na huku I love my money (money)
lyrics by ig alwayswith_mello
Hii kazi unayofanya mbona ngumu sana?
 
So you speak from experience Sir [emoji848]

Unajua kuyasemea vibaya hayo makabila inakuwa kama kuyaharibia Image yao, kuna Mabinti zetu watakosa Wame kwa maneno yako ujue.

Manake kama ni ishu ya Changamoto za ndoa, ipo kila Kabila. Muhimu vijana kumuhusisha Mungu wakati wa kutafuta wenza wao wa ndoa na maisha.

Ukichagua Mke kwa kigezo cha Tako, siku hizi kuna matako ya China na Uturuki yamejaa tele. Mungu awasaidie
Ukweli usemwe watu wapone
 
Nnacho wakubali watu wa Arusha wako real, hawajui kufake, iwe me or ke.

Nawapenda hapoo.
Reality ni hulka ya mtu sio mkoa atokako, wale jamàa walitaka kua na Nchi yao, pardon isingekua Nyerere kungekua na United Republic of Arusha
 
Yaan unataka kusema wanawake wa Arusha wana Pesa kuwazidi wanaume wao waliowaoa yaan wanaume wa Arusha waliooa wameolewa au unamaanisha nini ? Kwako Depal
Kwanza sio wanawake wa Arusha. Arusha by nature haina mchaga nasikia.

Pia wanawake wa kichaga ni watafutaji, so wanamix za mke na mume.
Coca alizungumzia point ya harusi/ masherehe. Mpk hapo utaelewa kwamba hizo pesa wakizimix wanafanya kitu kikubwa
 
You're right, japo wapo mabinti wazuri na wenye tabia njema.

Kuna lile kabila linapatikana kule mlimani kunakotoka 'cha chuga' wale hawafai kabisa hao.
Mlimani wapi huko mkuu ? Kilimanjaro ?
 
Kwanza sio wanawake wa Arusha. Arusha by nature haina mchaga nasikia.

Pia wanawake wa kichaga ni watafutaji, so wanamix za mke na mume.
Coca alizungumzia point ya harusi/ masherehe. Mpk hapo utaelewa kwamba hizo pesa wakizimix wanafanya kitu kikubwa
Aaaha kwa hio wewe ukasema wanaume wanawaogopa wanawake wa Arusha sababu wanaume hawana Pesa Ila wanawake wa Arusha wana Pesa au nilikuquote vibaya ?
 
You're right, japo wapo mabinti wazuri na wenye tabia njema.

Kuna lile kabila linapatikana kule mlimani kunakotoka 'cha chuga' wale hawafai kabisa hao.
Roma mkatolik zamani kidogo wakati ametoa wimbo.....

"Ndio maana mama alinikataza nisi mchumbie mmachame" quotes from Roma mkatolik

Kipindi icho nilikua na rafik wa kike mmachame alipo sikia icho kipande tukiwa wote alishitukaa na kutetemekaa.. 😃😃😃😊😊
 
Back
Top Bottom