Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

maisha safari ndo kuwekeza
Mara nataka I phone mmmh!!
nikakanunulia apple kakatafuna Kisha nikakatafuna.....[emoji4][emoji4][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee.
 
Twende mbele turudi nyuma

Hao hao mabinti wa kaskazini wanaongoza kuolewa tena kwa sherehe kubwa za gharama

Kabla ya kuendelea kuwashambulia, mabinti wengine wajifunze mazuri ya hawa mabinti wa kaskazini na yale mabaya wayaache

Hata ww mtoa mada una mazuri yako na mabaya yako
Mimi na interact nao. Nao wanalia njaa tu hakuna lolote
 
Anamaanisha milenda kama wewe na wanaokuunga mkono, Kaskazini hamwezi ku fit! Kaskazini ya wachapakazi, sio ya washirikina na wapunga pepo, wala ya waganguzi...WACHAPAKAZI, WANAOJITAMBUA, HAWAYUMBISHISHWI, USIPOMUOA WEWE, ANAOLEWA NA mchapakazi[emoji35]
Sasa kuongea tu ndiyo mpaka ulie?
 
Ukweli usemwe watu wapone
Ni sahihi Mkuu ukweli lazima usemwe, lakini Samaki mmoja akioza sio wote watakaooza.

Kuna watu wamepata wake bora kutoka kwenye hayo makabila ambao leo hii wanajivunia.

Tukisema tutoe ushuhuda hapa ya Kabila Malaika nahisi halitatokea, Muhimu utakayempata hakikisha una mvumilia ukitambua hakuna Malaika katikati ya Binadamu
 
Roma mkatolik zamani kidogo wakati ametoa wimbo.....

"Ndio maana mama alinikataza nisi mchumbie mmachame" quotes from Roma mkatolik

Kipindi icho nilikua na rafik wa kike mmachame alipo sikia icho kipande tukiwa wote alishitukaa na kutetemekaa.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji4][emoji4]
Jaribu uone moto. Wamachame huwa Wanaitwa wapalestina, tena Wanaitwa hivyo na wachagga wenzao.
 
Kwanza sio wanawake wa Arusha. Arusha by nature haina mchaga nasikia.

Pia wanawake wa kichaga ni watafutaji, so wanamix za mke na mume.
Coca alizungumzia point ya harusi/ masherehe. Mpk hapo utaelewa kwamba hizo pesa wakizimix wanafanya kitu kikubwa
Ewaaaaaah!!!!
 
Aaaha kwa hio wewe ukasema wanaume wanawaogopa wanawake wa Arusha sababu wanaume hawana Pesa Ila wanawake wa Arusha wana Pesa au nilikuquote vibaya ?
Kwan uongo?? Wapo wanawake wa kaskazini wana pesa kuzidi wanaume wa mikoa minginee.

Ukweli usemweeee.
 
So now tunapambana kuzuia ushoga na tunapambana na watu/mademu wa kaskazini?

Kweliii hii ndio jei efu
 
Aaaha kwa hio wewe ukasema wanaume wanawaogopa wanawake wa Arusha sababu wanaume hawana Pesa Ila wanawake wa Arusha wana Pesa au nilikuquote vibaya ?
You qouted wrong.

Kuna mtu alisema ndio wanaongoza kuolewa na sherehe zao ni za gharama.
Coca akakazia
Na mie nikakazia..
Ukihudhuria harusi zao hamna kazi ndogo aisee… ndio nikasema sbb ni KE wana hela na Me wana hela. So wakizimix wanafanya makubwa
 
Back
Top Bottom