Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
maisha safari ndo kuwekeza[emoji91][emoji91][emoji91] noumaaaah nimekumbukaa mbalii daaah.
Leta na ule wa "kanifuata"
Hajui kua hio ni bosheni tu hata Dar wapo wauza vipodozi Ila wanauza Chini pia,Unajuaje papuchi hatembezi? Ungeuliza
Hii kazi unayofanya mbona ngumu sana?Lyrics
Safari - Nikki Wa Pili
...
where is money oh!!
where is my honey njoo
Bila we ni presha nakesha
ah tupendane safari ya mapenzi kitaani
aziza Anita Anne
toka Nani anitukane
eti Sina pozi Sina money
niweke pozi au nikuchane
nikupe Kiki ujulikane
hakuna Kiki just fun
Sina mshahara Ila sholout
mziki biashara
wananitaka leo wakina Sarah
sio me sio joh sio g warara
watoto wanaipenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto mkali
I love u waubani (2)na huku I love
ur money ( uh uh eh)
I love u waubani (money') na huku I love my money
man me na we sijali
safari is not fun
jaman Hawataki kunicrown me
usijali hakianani
dem alidhani me ni jigga
nikakuacha akidhani nitapiga
hakuna gold wacha digger
utachezea wazungu wa nigga
mashoping kutwa kwa maduka
saluni mawigi kusuka
madiscko majoka kuruka
na jina nimwandike kwa chupa
kwa miguu ata nikamaliza moka
mie bado sikua Kanye
kumbe kasister du kitambo kalikua Kardashian
hakuna kitu kichwani dash Yan
watoto wanapenda asali
watoto hawapendi ukali hawapendi safari maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto .mkali
where is my money oh
where is my honey njoo
bila we ni presha nakesha na we (2)
I love u waubani na huku I love ur money
I love u waubani na huku I love my money
I love my money
utanipiga deki nikikudekeza
maisha safari ndo kuwekeza
Mara nataka I phone mmmh!!
nikakanunulia apple kakatafuna Kisha nikakatafuna
kakataka out nikakatoa nje kakapigwa upepo nikakaimbia xo
mapenzi mama ntakupa pepo
Mambo za Nini em karibu depo
mie ni zero juu yako simama pembeni kushoto tukamilishe kumi
watoto wanapenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari
maisha kufika ni mbali na Tena kwa msoto mkali eh oooh.
where is my money oh
where is my honey njoo
bila we ni presha nakesha na we ( 2)
i love u waubani na huku I love ur money
I love u waubani na huku I love my money (money)
lyrics by ig alwayswith_mello
Wengi wapo hivyoNa ndio wanafanya vijana wakatae ndoa, niliacha kuwaheshimu pale mmoja wao ( mke wa mtu) aliponiambia nimpe laki moja alafu nichakate mbususu akiwa hana wasi wasi kabisa usoni
Basi kazi imeisha mkuu, ngoja na mie nijaribu kumfahamu kwa namna hiyo. Mi naona kuishi Ar kunamfanyw awe kama wameru tu.πShe's humble, lovely and extremely beautiful. Ana kitu atafika mbali
Ukweli usemwe watu waponeSo you speak from experience Sir [emoji848]
Unajua kuyasemea vibaya hayo makabila inakuwa kama kuyaharibia Image yao, kuna Mabinti zetu watakosa Wame kwa maneno yako ujue.
Manake kama ni ishu ya Changamoto za ndoa, ipo kila Kabila. Muhimu vijana kumuhusisha Mungu wakati wa kutafuta wenza wao wa ndoa na maisha.
Ukichagua Mke kwa kigezo cha Tako, siku hizi kuna matako ya China na Uturuki yamejaa tele. Mungu awasaidie
am 4 realHii kazi unayofanya mbona ngumu sana?
Reality ni hulka ya mtu sio mkoa atokako, wale jamΓ a walitaka kua na Nchi yao, pardon isingekua Nyerere kungekua na United Republic of ArushaNnacho wakubali watu wa Arusha wako real, hawajui kufake, iwe me or ke.
Nawapenda hapoo.
Bora useme ukweli, watu wabishi mnoYe mwenyewe kaachnaa na yule mtarajiwa wake mm ni mchaga ila aisee kuliko niowe mchaga bora nikae single
Kwanza sio wanawake wa Arusha. Arusha by nature haina mchaga nasikia.Yaan unataka kusema wanawake wa Arusha wana Pesa kuwazidi wanaume wao waliowaoa yaan wanaume wa Arusha waliooa wameolewa au unamaanisha nini ? Kwako Depal
Mlimani wapi huko mkuu ? Kilimanjaro ?You're right, japo wapo mabinti wazuri na wenye tabia njema.
Kuna lile kabila linapatikana kule mlimani kunakotoka 'cha chuga' wale hawafai kabisa hao.
Kumbe. Mnakataana wenyewe πYe mwenyewe kaachnaa na yule mtarajiwa wake mm ni mchaga ila aisee kuliko niowe mchaga bora nikae single
Na wadada wauza nguo wengi huwa wanauza na hiyo papuchiHajui kua hio ni bosheni tu hata Dar wapo wauza vipodozi Ila wanauza Chini pia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mtafute pesa tyuuh.Hapa umeongea ukweli wenyew
wanaume tutafute pesa tuache mboyoyo mingiii
Aaaha kwa hio wewe ukasema wanaume wanawaogopa wanawake wa Arusha sababu wanaume hawana Pesa Ila wanawake wa Arusha wana Pesa au nilikuquote vibaya ?Kwanza sio wanawake wa Arusha. Arusha by nature haina mchaga nasikia.
Pia wanawake wa kichaga ni watafutaji, so wanamix za mke na mume.
Coca alizungumzia point ya harusi/ masherehe. Mpk hapo utaelewa kwamba hizo pesa wakizimix wanafanya kitu kikubwa
Hio inaitwa double business km wale wanaopiga masaji ya mwili,Na wadada wauza nguo wengi huwa wanauza na hiyo papuchi
Roma mkatolik zamani kidogo wakati ametoa wimbo.....You're right, japo wapo mabinti wazuri na wenye tabia njema.
Kuna lile kabila linapatikana kule mlimani kunakotoka 'cha chuga' wale hawafai kabisa hao.