Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Ilo ni kweli. Kwasababu wana pesa.. huwezi fananisha na mikoa mingine, mwanaume ndiye ana pesa. Mke apeche alolo
Kila mkoa kuna wanawake wenye pesa pia, tena wengi, hasa zama hizi.
 
kama wewe ni wakaskazini kama wao basi ndo unaweza ishi nao tunajuana kwa vilemba
 
Kama 90% wapo hovyo basi huwa ni wote hovyo. 10% haibadili kitu.

Hata Tanzania tunaposema ni maskini haimaanishi kina MO, GSM au bakhressa nao ni maskini
 
Wengine mbona nyota zetu na hao wachagga zimekuwa kali? Hivi wewe Countrywide kama ni wa kaskazini unashindwaje kuishi na mabinti zetu hawa, mbona wapo bien sana.
Watu tu wanageneralize mambo. Mtu na ukabila wake havihusiani na tabia zake.

Kama inavyosemekana wapare hela zao zimeshikana na ngozi. Hazitoki kizembe, me ukiniambia hivyo nakataa.
 
Kwahiyo vijana wakaoe wahaya huko bukoba au tuwashauri waendelee kutafuta wabena wa njombe
 
Kama 90% wapo hovyo basi huwa ni wote hovyo. 10% haibadili kitu.

Hata Tanzania tunaposema ni maskini haimaanishi kina MO, GSM au bakhressa nao ni maskini
Naomba kwa heshima zote Mkuu, utupatie takwimu zako zenye kuonesha ubaya wa hayo Makabila ukifanya comparison na Ubora wa Makabila mengine
 
Plus wameru hapo mount Meru, hao funza wakivuruga kichwa na endapo haupo nyumbani au getto utakuta umeachiwa chupi zako zinaning'inia mlangoni!.
 
K
πŸ˜„πŸ˜„ kwamba nisiingie uchagani?
kabisa. ..but hii naona km mke niwahuko ndio changamoto kwa mwanamke akiolewa huko shida yake hutapata muda wamapenzi nae atakua busy muda wote kutafuta hela 24x7x365 labda awe anaumwa au anarudi uchagani kuhesabiwa
 
Ila ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
Kwahiyo ni huyo ni mchoyo huyo sister? Sijaelewa
 
Hawa mabinti wako wapi? Mbona sisi tupo huku lkn hawapo wenye hizo tabia?
Au kuna Arusha na Moshi nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…