Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Hiyo kaskazini toa Tanga mkuu, wanawake wa Tanga Ni wakarimu sn wao mapenzi ndio kipaumbele wanakupa hata Kama huna hela na unapewa kweli ujue.

Dar kweli Tanga raha jamani.wasafi, wanajua kujiandaa, Kama hujatosheka unaulizwa, mauno Kama yote, na pole unapewa ukimaliza[emoji848][emoji1][emoji1]
 
Sina chembechembe, na mkoa wangu hauna ukaribu hata kidogo na Kaskazini. Ajira ndiyo ilinileta huku
Hivyo eeh? Babi mimi siku zote najua wewe mtu wa Arusha by origin
 
K

kabisa. ..but hii naona km mke niwahuko ndio changamoto kwa mwanamke akiolewa huko shida yake hutapata muda wamapenzi nae atakua busy muda wote kutafuta hela 24x7x365 labda awe anaumwa au anarudi uchagani kuhesabiwa
😂😂 we ni wa huku? Umeyajuaje hayo?
Unatafuta hela 24/7 na kuzitumia ni saa ngapi?
 
Wasambaa technical unavyoongelea kaskazin lazima na wasambaa uwa include
 
Tabia ya mtu mmoja haiwezi kujumuisha watu wote wa jamii fulani. Kama ni kweli weka ushauri kuwa jamani msioe Kilimanjaro na Arusha nendeni Iringa au Mtwara etc. Kwa sababu kila sehemu ina myth yake au kuna taarifa mbaya zake.
Kigoma - wachawi, wachafu

Dodoma - wachafu, umasikini, ndugu kujazana kwako

Mwanza- hawajui kukata

Iringa - wanajinyonga, hawajui kukataa niangusage

Tanga/Pwani - ulozi, Ngoma, hawajui kukataa

Wamasai/wakurya -FGM

Bukoba /wahaya - malaya

Mbeya - wababe, migogoro

Morogoro/ukerewe -Ulozi
Etc etc

So hayo yote ni mawazo au kulingana na matukio fulani fulani yaliyotokea ktk jamii lakini si kweli kwamba kila unayekutana naye anatabia hizo.

Ukiona huna amani achana nao. Wapo wenye amani nao na wanawaoa kila siku.

Nb

Niko mkoa fulani. Huu mkoa wasichana na wadada wanapenda kupata waume wachagga. Kwao ni prestige. Hata kama yale walioyatazamia wasipoyakuta lakini mtazamo wao ndiyo huo. Ni kama ulivyo mtazamo wako. Hata kama wapo wanawake wachagaa wasio na tabia ulizosema na upo sahihi kwa sababu huo ni mtazamo wako.
 
[emoji15]utarudi unalia,I promise you.Mambo haya hayana formula... Ukibahatika unakuwa umebahatika na ukikosa unakuwa umekosa
[emoji23][emoji23][emoji1787]To yeye. pata kinywa hapo kwa mangi nakuja kulipa[emoji23][emoji23] maana kuna watu na waishi kwa kukaririshwa[emoji23][emoji23]
 
Nimesema hapo Arusha na moshi
 
Mkoa upi ebu utaje if u dont mind
 
Kwann unawamwagia sumu kali hivyo watoto wa kaskazini.Chuki zako unataka kuwaambukiza wanaume wenzako ili mabinti wawatu wakose upendo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…