Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Hawawez kosa kwa upumbavu wa mtu mmoja
Kabisa! mtu mmoja hawezi vuruga amani ya mabinti wa kaskazini.
Mabinti wa kaskazini hawana muda wa kushindana na mpumbavu mmoja, wanasaka money[emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye masikio na asikie.

Mimi japo sitokei huko lakini habari zao ninekuwa,nikiziona na kuzisikia miaka nenda mika rudi tangu enzi za Nyerere, nimeona watu waliondoka duniani kwa huzuni hasa watu wa bara toka maeneo mengine kosa,lao likiwa tu ni kuoa huko ulikokataza.
 
Countrywide
 
Una stress sana kwanza ulileta thread watu wasioe wachaga leo umekuja kugeneralise pote kinachofuata utasema watu wasioe wanawake tanzania

Kila sehemu watu wazuri na wabaya, Mental health ni tatizo kamwone daktari kabla hali haijawa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…