Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
UongoWewe ukiwa na hela, wanapanga njama na kaka zake kuja kukuibia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UongoWewe ukiwa na hela, wanapanga njama na kaka zake kuja kukuibia.
Kabisaa kabisaWewe ukiwa na hela, wanapanga njama na kaka zake kuja kukuibia.
Na wewe ni shombe la kimasai mixer kipare?Saaana saaana aiseeee
Wewe ni wa kaskazini pia?!Wewe ukiwa na hela, wanapanga njama na kaka zake kuja kukuibia.
Kabisa! mtu mmoja hawezi vuruga amani ya mabinti wa kaskazini.Hawawez kosa kwa upumbavu wa mtu mmoja
Haahaa,Plus wameru hapo mount Meru, hao funza wakivuruga kichwa na ukawa haupo nyumbani au getto utakuta umeachiwa chupi zako tu!.
Kwaio Huwa hawawezi ku fall in love.....maana huwezi mfanyia unyama mtu unae mpenda....Wewe ukiwa na hela, wanapanga njama na kaka zake kuja kukuibia.
Mwenye masikio na asikie.Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Utachekwa na binti wa kinyaki...Bora twende mbeya kwa wanyakyusa. Case zao ni chache
Countrywidesweet mangi
Dah, dai na dai bili,
Nyingi nalipa ili,
Njaa isije katili,
Msingi uwe kamili,
Vocha jumatano, elf moja Mia tano,
Jiunge bando la chuo,
Mpaka tena jumatano,
Sina takataka,
Caterpillar, kata kila demu anaenitaka,
Kata kila shorts,
Ila wanasema, kila demu anataka kila, mwanaume amkatie pochi,
Sitakupa Indian hair,
Ntakupa mtaji wakuwauzia,
Brazilian hair,
Sitakupa brazilian hair,
Ntakupa mtaji wakuwauzia,
Perruvian hair,
Kweli kabisaa.Hamna hata ongea yani ile ya kichinga kabisa hamna maswala ya kulegezeana sauti,uso mkavu na si mmoja wapo wengi,wewe fika Arusha then ukiwaona waite halafu fanya nao negotiations ndipo utanielewa.
Kwaio Huwa hawawezi ku fall in love.....maana huwezi mfanyia unyama mtu unae mpenda....
Kuna mwanamke mmoja wa kinyakyusa alikua anamshurutisha bwana wake aoshe vyomboUtachekwa na binti wa kinyaki...
Una stress sana kwanza ulileta thread watu wasioe wachaga leo umekuja kugeneralise pote kinachofuata utasema watu wasioe wanawake tanzania
Kila sehemu watu wazuri na wabaya, Mental health ni tatizo kamwone daktari kabla hali haijawa mbaya
Yaan,Na Mimi niliyepanga kwenda huko Arusha kuopoa pisi Sasa mnanishauri vipi?
Mnadanganya nyiee.Wewe ndo unadanganya sasa Coca
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu cha kushangaza kupondwa kote huku Ndio wanazid kuolewa haha
Nagongelea msumari hapa mm sijui kama ningewezana nae...Kuna mwanamke mmoja wa kinyakyusa alikua anamshurutisha bwana wake aoshe vyombo
Wanyakyusa wanawake ni wakorofi sana