Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Kuna mshikaji alileta mmachame states, sijui kilitokea nini ila mpaka leo hataki kusikia kitu kinachoitwa ndoa 😅
 
Nilikua naye mmoja Kama mwaka mmoja na nusu hivi stress nilizo pata ni za dunia nzima kudadeki
 
We ndo unawajua vizuri Sasa wadada wa kichagga
 
CCM inapenda vijana wajadili mambo kama haya.uku wao wakilamba asari tu
 
Ni mawazo Yako tu, naishi kaskazini Kuna wadada warembo na wazuri wanaolewa na watu wasio na chochote hata uhakika wakula hawana, inategemea na ntu na ntu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…