Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wamachame😅...wanajitambua sio wale mliozoea kuwaburuza kama maharage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uoga kenge weweNyie hawa wanawake wa huko kaskazini hawafai hata kidogo haloo.
[emoji16]
Ukweli upo moyoni mwako.[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi sio mkaskazini mkuu hilo hapana
Ona hii samakiWamachame[emoji28]...wanajitambua sio wale mliozoea kuwaburuza kama maharage
Tufarijiane ili sote tujisikie vizuri.Kwa hiyo unatakaje kwangu ??mie nawambiaga mnatafuta watu sio halafu mnalaumu watu wote Sasa muelewekaje??
Nilikua naye mmoja Kama mwaka mmoja na nusu hivi stress nilizo pata ni za dunia nzima kudadekiKijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
We ndo unawajua vizuri Sasa wadada wa kichagga90% ya dadaz kwenye cycle yangu ya maisha wanatoka Kaskazini, they're very beautiful na wana mapenzi ya dhati [[talking from experience]].
wako na mazuri mengi kuliko mabaya in all aspects, ni kawaida sana kwa binadamu kusahau na kufuta mazuri 99 kwa baya 1.
Kama wewe ni MWANAUME ULIYEKAMILIKA huwezi shindwa kuoa Mwanamke kutoka kaskazini kisa izo sababu ulizogeneralize apo juu.
Mdada wa kaskazini AKIKUPENDA ANAKUPENDA KWELI, kama hakupendi atakuchuna na pesa atakua anampatia Barafu Wa Moyo Wake.
Note:
hata uwe na Mali kiasi gani kama hauwezi kumfikisha kunako 6/6 mdada yeyote wa kaskazini then you're finished.!!
Mikoa yenye Wanawake wazuri ni Singida na Manyara.Mikoa yenye wanawake Wazuri ni Arusha na Kilimanjaro
Sema wanyiha,...Nakazia hawajui wanyia huyo mpe ABCD
Mimi nilipokuwa nashida hakuna aliyenifariji mimiTufarijiane ili sote tujisikie vizuri.
Wanyiha nna imani unawafahamu vyemaSema wanyiha,...
😘Itakua hivi hivi!!!we waonaje!!!?
Ni mawazo Yako tu, naishi kaskazini Kuna wadada warembo na wazuri wanaolewa na watu wasio na chochote hata uhakika wakula hawana, inategemea na ntu na ntuKijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Wanakosa sifa ulizotaja weweWatu wa maeneo hayo wapoje?
Tangia lini mwanamke akajua mwanamke mwenzake ana tabia njemaIla ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.