Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Unapigwa kipapai kwanza then mengine yanafuata.Mimi nikajua with my conscious mind Kwa kwel tungeshindana early in the morning [emoji851]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapigwa kipapai kwanza then mengine yanafuata.Mimi nikajua with my conscious mind Kwa kwel tungeshindana early in the morning [emoji851]
Vijana wahuni huwa wanaitindua sana mbele na nyuma.Miti yenye matunda
Bora mseme ukweli watu wajueWewe ndio unajua leo? Ukitaka kufa mapema oa watu wa huko ukiwa mbishi hata sumu unaekewa.
Ndio alikuwa amelewa alienda jela miaka 7 sijui 12 sikumbuki naalitolewa Kisa anawatoto wakuleaSasa kwa nini yupo uraiani? Huenda pia alimvizia usiku akiwa amelala. Je, hawakuwa na ugomvi uliopelekea huyo mama kutumia kisu?!
Ona hii kengeWala hatukuwazaa muwaoe ninyi vyasaka. Hata kutunza mke hamuwezi.
Kwenye uzazi unampa supu ya samaki? Dagaa ? Miguu na vichwa vya kuku?
Inahusu!!
Akikutana na sisi ni mwendo wa mguu wa ng'ombe na siagi za kutosha.... bia kwa mbaali mpaka gauni linalowa maziwa.... miezi 6 ndani !
Baba mkubwa alimwambia mama naona Mali Zina zidi kiongezeka angalia usije muua mdogo angu................Wewe ndio unajua leo? Ukitaka kufa mapema oa watu wa huko ukiwa mbishi hata sumu unaekewa.
Kumbe hapo shida siyo mali bali ni pombe/ulevi uliokithiri. Hakukusudia kumuua mumewe. Angekusudia angetumia sumu au kwenda kwa mganga au kualika majambazi.Ndio alikuwa amelewa alienda jela miaka 7 sijui 12 sikumbuki naalitolewa Kisa anawatoto wakulea
Baba yako mkubwa aliweka tahadhari kutokana na upendo kwa mdogo wake. Mama yako ni Mchaga?!Baba mkubwa alimwambia mama naona Mali Zina zidi kiongezeka angalia usije muua mdogo angu................
Alimkosea sana mama angu Leo mama na baba wamezeeka pamoja.... throughout all Odds of life.........
Kama mikoa ipi? Na hayo maendeleo ni kama yapi?Kama unataka uwe na maendeleo na akili ya kutafuta pesa oa kaskazini
Kama unataka mahaba shata shata ushindwe kwenda hadi kazini oa mikoa mingine waliowekeza kwenye mapenzi lkn ni kapuku hawana maendeleo
Tanzania ukitaja kabila 3 wakorofi bila kuwataja Wanyakyusa hiyo list ni fake.Kuna mwanamke mmoja wa kinyakyusa alikua anamshurutisha bwana wake aoshe vyombo
Wanyakyusa wanawake ni wakorofi sana
😀😀😀😀😀😀ah hapana aiseeeeNa wewe ni shombe la kimasai mixer kipare?
Usimuache mpaka atakapokuonesha dalili zenye mashiko.Comments zenu zimenipa stress. Sasa nifanyeje wakuu? Nimuache?
Hapana Wala tunajua ukweli ila haisaidiiKumbe hapo shida siyo mali bali ni pombe/ulevi uliokithiri. Hakukusudia kumuua mumewe. Angekusudia angetumia sumu au kwenda kwa mganga au kualika majambazi.
Hayo yote humkuta mwanaume dhaifu.Tanzania ukitaja kabila 3 wakorofi bila kuwataja Wanyakyusa hiyo list ni fake.
1. Binti wa kinyakyusa akikudharau kimbia
2. Anaweza kususa chakula siku 3
3. Wana kisasi hatari
4. Wababe sio mchezo.
5. Hawapelekeshwi hata kidogo.
Tembeeni muone
OMG! Kumbe mipango alikuwa nayo toka zamani ila siku hiyo alilewa kwa makusudi kwa ajili ya kazi hiyo tu???Hapana Wala tunajua ukweli ila haisaidii
TAngu lini ndoa ikaongozwa na ubabe?Hayo yote humkuta mwanaume dhaifu.