Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Hua wana babaika na vitu vidogo vidogo ambavyo havina mashiko wala maana
 
Imani ipo na tunayo, ila kuna maeneo, tusiweke sana mambo imani mbele ingawa tunatakiwa kumuomba Mungu kwa kila jambo.
.
Sahihi hakuna mtu alikuwa na udini kama Raisi Marehemu Mwinyi akizungukwa na walinzi waislamu watupu siku hiyo akaenda hafla ya waislamu Diamond Jubilee Kuna kitu akaongea kumbe kimewaudhi waislamu siasa kali walinzi wakazubaa Wana Concentrate kusikiliza mawaidha tu na Aya za Mtume Mohamed tu zikitiririka kwenye spika.Islamu siasa Kali akajifanya anarekebisha maiki akamtabdika kibao Cha nguvu Raisi

Ni Raisi pekee aliyewahi kutandikwa kibao na raia Toka tupate uhuru

Toka wakati huo walinzi wa Raisi kama muislamu hulindwa na wakiristo na kama ni Muislamu hulindwa na waislamu ambao wakiingia hata msikitini au kanisani Wana Concentrate kulinda mtu wao tu sio kusali sababu sio Dini Yao
 
Hayo maelezo yako, mbona hayaendani na nilichokiandika.
.
.
.
 
Hayo maelezo yako, mbona hayaendani na nilichokiandika.
.
.
.
Ninachokuambia ni kuwa wanaandaliwa Kwa Hali ya hewa yeyote .Popote wakijua Kuna mtu anataka kupindua Raisi kajificha kwenye danguro la Malaya wavaa vikaptura unataka waende na Hijabu kama maafisa usalama wa taifa au wapelelezi ? Kwenye Hilo eneo? JKT inawaandaa Kwa Kila eneo

Una akili ndogo mno
 
Kwanini waliruhusiwa.

Ni matakwa ya katiba?

Kama ndio kwanini iwe sivyo ktk vikosi na idara zetu za usalama
 
Ni hisia zako au ni kwa mujibu wa katiba.

Ikiwa sheria ndani ya kambi ya jeshi unapingana na katiba nini kinakuwa batili. Nini kinapaswa kufatwa
 
Acha kuleta utaliban hapa kwa mgongo wa katiba. Unamjua huyu mwanamke kwenye picha hapa chini. Alivaa vibukta hivyo hivyo akiwa kuruta na hadi kustaafu akiwa Major General na sasa hivi anavaa ushungi. Unadhani yeye ssiyo mwislamu?

 
What kind of rules that we needed to be followed which are not universal.

Will u learn from other democratic nations.

 
Huko huendi kuabudu, unaenda kwa kazi moja tu. Unataka kuabudu kuna muda maalumu lakini si muda wa mafunzo. Jeshini wote mna kuwa treated as equal , no special treatment, no special rights, all mna server cause moja.

Kama hiwez au hutaki dont join
 
Maana ya itikadi ya Serikali isiyo na dini ni nini.

Kudhibiti baadhi ya dini?

Kama sheria za nchi zingekuwa zinaenda kinyume na ukatoliki je wakatoliki wangekubali?
 
Hawa wana wear wakiwa wameshapata mkataba wa ajira, wakati wa kozi ni impossible. Zili shuruba no body anajali umevaa whatever, na kwenye vita adui hatojali umevaa kanzu, au rangi yako
 
Huko huendi kuabudu, unaenda kwa kazi moja tu. Unataka kuabudu kuna muda maalumu lakini si muda wa mafunzo. Jeshini wote mna kuwa treated as equal , no special treatment, no special rights, all mna server cause moja.

Kama hiwez au hutaki dont join
Najua hiki ndicho chanzo cha tatizo.

Kwamba neno ibada lina maana mbili tofauti kati ya waislam ma wakristo.

Wakristo wanatafsiri kufanya ibada ni kufanya matendo maalum kama kwenda kanisani, kumsifu na mfano wa hayo.

Katika uislam kila kitendo ukifanya kwa mujibu wa uislam ni ibada. Kuvaa nguo za stara kwa wasichana ni ibada ni kuabudu. Sasa pale mtumishi wa serikali wanaotafsiri neno ibada kwa mujibu wa imani yake. Tafsiri hiyo si msimamo wa serikali isiyo na dini bali ni tafsiri ya imani yake. Ktk serikali isiyonadini tafsiri sahihi ya kuswali wenye imani na dini kwa mujibu wa katiba si kuwadhibiti kwa kutafsiri dhana sawa na imani ya dini yake binafsi
 
Una experience yoyote ya jeshi?

Sizungumzii tofauti ya ukristo na uislam. When it comes to serikali ( yenyewe haina dini)
Niko upande wa nchi.
As experienced ex service guy, mle haijalishi ni mkristo or muislam, wote mnapigwa kazi. Jeshi liko under directory moja tu, ku serve interest za nchi, na si interest za dini fulani.

Hizo rights zina wakati wake, why una include dini nyakati za mafunzo?
Basicaly ni jambo lisilo wezekana, kwa shuriba za mle ushungi hauto pitisha 1 day.

Unataka ku archive nini?

As i said again, unaona service ya nchi haiendani na dini, jump the ship
 
Experience is curse when it comes a situation u support unconstitutional.

Will u allow to learn.

Google hii title as guideline kwa wenzetu wanaoamini Secularism is to protect believers with their faith.

Kwa ufupi ni hivi

operational effectiveness or health and safety.

General dress codes which conflict with religious or belief requirements may constitute indirect discrimination under the Equality Act unless they can be justified.


GUIDE ON RELIGION AND BELIEF
IN THE ARMED FORCES

Kwa ufupi ni hivi kutoka jeshi ya uingereza na US

The Armed Forces recognise that individuals with specific religions or beliefs generally welcome the opportunity to wear clothing with significance to their religion or belief. This is reflected in the Services’ dress regulations that
take account of cultural and religious differences such as permitting individuals to wear items of religious significance and Muslim women to cover
their arms, legs and head in all aspects of their work. More detailed information on religious dress in the Armed Forces can be found at Annex A.
For operational and health and safety reasons, members of the Armed Forces may have to be flexible in some circumstances. However, the Armed Forces’
policy is to ensure that any such restrictions regarding clothing to be worn in an operational environment are genuine requirements on grounds of
operational effectiveness or health and safety.

General dress codes which conflict with religious or belief requirements may constitute indirect discrimination under the Equality Act unless they can be justified.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…