Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Hao waliovaa kidini nguo za jeshi ni askari wa dini nchi za kiislamu

Nchi za kiislamu Mwanamke haendi vitani ni askari tu wa mitaani wa kusimamia sharia za dini ya kiislamu kusimamia uvaaji hijabu mitaani
Mifano yetu haizingatii nchi za kiislam.

Bali nchi zinazojipambanua ni za kidemokrasia
 
Umewahi kujiuliza kwanini ukiwa Mzalendo jeshini unavaa Track na ukiwa kuruti unavaa pitshort?

Acha kupelekwa pelekwa na midini dini utachelewa. Acha jeshi lijiendeshe kama linavojiendesha.

Waislam mnajikutaga imani mnazijua sana.
Sio suala la kujua.

Ni suala la kufata sheria, katiba, na haki za binadamu
 
Mbona tumevaa saana pitishot mkuu..Imani yako Kama ipo ipo tu... Kubeba dunia,kula tano, yote ni maisha tu maana baada ya hapo Kuna maisha mengine..wewe ndo umejua Leo kwakua mwanao kachaguliwa jeshi🤭😆🤭😆
 
Mbona tumevaa saana pitishot mkuu..Imani yako Kama ipo ipo tu... Kubeba dunia,kula tano, yote ni maisha tu maana baada ya hapo Kuna maisha mengine..wewe ndo umejua Leo kwakua mwanao kachaguliwa jeshi🤭😆🤭😆
Tufate katiba si hisia
 
Wanaweza kuvaa track mabwanga zisizoshika miili yao
Uliwahi pita JKT?
Uliwahi fanya mafunzo ya kijeshi?
Uliwahi vuka/ruka vikwazo ktk mafunzo?

Nashauri; ACHENI JESHI LIWE JESHI NA KANUNI ZAKE ZIHESHIMIWE. ACHA KUINGIZA DINI KWENYE JESHI.

Kuna maaskari/makamanda/viongozi wa dini zote huko, lakini wanasimamia maadili ya kijeshi kama yanavyopasa kwa ajili ya faida ya TAIFA.
 
Kinyume na Katiba sawa. Ebu tupe ni kifungu gani cha Katibai ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinazungumzia uvaaji wa bukta JKT? Au umejichanganya ulikuwa unamzungumzia Katiba ya BAKWATA? Ahahahahaha!!!
 
L
Kuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
ile ni jeshi msilete visheria venu vya dini. Toa Udini wenu. Kwani lazima watoto wenu waende? Kesho mtataka wafanye mafunzo na hijabu. Pelekekeni upuuzi wenu hukohuko. Utaki katanza mtoto wako kwenda basi
 
Maana ya itikadi ya Serikali isiyo na dini ni nini.

Kudhibiti baadhi ya dini?

Kama sheria za nchi zingekuwa zinaenda kinyume na ukatoliki je wakatoliki wangekubali?

Kwa taarifa yako, ni kwamba kuna sheria na taratibu nyingi za serikali ambazo ni kinyume cha mafunzo ya ukatoliki lakini wakatoliki hawapigi kelele kwa vile wanatambua mafunzo yanayosema kuwa "Ya Kaizari mpe Kaizari na ya Mungu mpe Mungu." Wanajua kutengansiha imani zao binafsi na mambo ya serikali.
 
Jeshi ndio msingi wa chama !ccm =chama Cham mapinduzi!

Huwezi Fanya mapinduzi mama sio mwanajeshi!na mapinduzi Ili yafanikiwe lazima kuwe na mbinu mbadala za kumrubuni anaepinduliwa hasta kutumia body language no sehem ya hayo mambo!!

Mwili wa mwanajeshi haumilikiwi na yeye mwanajeshi wala jamii fulani Bali jeshi lenyewe TU!!

Wanaandaliwa hivyo kuwa miili Yao ni kwaajili ya jeshi sio kwa ajili ya dini Wala taaasisi nyingine yeyote!

Nadhani!
 
Taratibu na kanuni za jeshi hazina dini, rangi wala kabila. Nidhamu ya jeshi ni tofauti kabisa na uraiani. Vivyo hivyo fikra. Waliopita jeshini wanalijua hilo.
Wacha vijana watembee kwa mwendo wa kunyakua wapate ukakamavu kimwili na kifikra.
 
Unapenda ligi kila mtu mawazo yake yaheshimiwe

Hawajakataa kwenda jeshini na hakuna sehemu wanesema wanakimbia na abaya

Wanaweza kuvaa track mabwanga zisizoshika miili yao
Pale jeshin ni nidhamu kwenda mbele. Jeshi Lina kanuni zake za kimafunzo. Aliwezi kibadilisha kwasababu ya dini. Sababu pale hawafati kufundisha dini. Kwahiyo Kama uwezi kufata kanuni na taratibu za jeshi tuliza toto lako kwenu.
 
K
Taratibu na kanuni za jeshi hazina dini, rangi wala kabila. Nidhamu ya jeshi ni tofauti kabisa na uraiani. Vivyo hivyo fikra. Waliopita jeshini wanalijua hilo.
Wacha vijana watembee kwa mwendo wa kunyakua wapate ukakamavu kimwili na kifikra.
Kabisa mkuu. Waambieni hawawezi kupenyeza Udini jeshini
 
Acha ujinga wako
 
Hao ni jamii ya kiislam iko contaminated.

Hata hivyo tunaungana na chadema kupitia sera ya majimbo yenye uhuru zaidi au uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe.

Mjadala kama huu tungekuwa ktk utawala wa majimbo ungepokelewa kwa mikono miwili kwa majimbo ya ukanda wa mwambao.

Ukimsikiliza lissu hadi ktk mkutano wake wa jana anakwenda vizuri na sera hii na tunamuunga mkono. Kuwa ardhi ya ngorongoro ni ya wamasai. Ardhi ya dar ni ya wazaramo. Wao ndio wenye mamlaka ya kuamua uishi kwa value zipi. Kwa kuwa ktk mfumo wa demokrasia ktk utawala wa majimbo wengi hufunga sheria.
 
Bila picha we muongo, mkuu mimi muislam ila kwa kule wakivaa suruali au s
Skirt watafanyaje mazoezi au kazi za kijeshi
Waukize wamarekani, malawi, south Africa, uk wanafanyaje.

Unaweza kugoogle mwongozo, type maneno haya.
GUIDE ON RELIGION AND BELIEF
IN THE
ARMED FORCES
 

Attachments

  • Screenshot_20220114-215050.jpg
    288.9 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…