Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Wamefuatwa nyumbani waende?
Mficha uchi hazai.
Wabaki madrsa, wasio na dini wataendea watulinde.
Si lamza.
Ma gyno wa kiume si wanawavua manguo na kuchunguza via zao za uzazi? au wanapimwa na wanawake tu?
Wana hospitali zao wanapotoleaga mimba ambapo madaktari ni wanawake tu?
Mkuu mbona unaongea kama vile makambi ya ngono ya JKT ni sawa na hospitali? Kuwa makini na uheshimu watoto wa wenzako.
 
Nasikitika ulivyoita hilo jina,"makambi ya HONO".
Hawa vijana kuna mahali jinsia mbili huwa wanakutana, wanaapata muda wa kulalana?
Soma vizuri tangu mwanzo wa comments zangu utanielewa mkuu. Hawa mabinti wakifika kwenye hayo makambi ya Sodoma na Gomola hugeuzwa kuwa wake wa maafande. Unataka kusema huwa hawakutani na maafande? Nani anawapa training?
 
OMG!
Maafande zetu wana maadili, wamefunzwa na kufunzika.
 
Jeshini hakuna sheria hizo! Kwani hakuna wakristu? Mbona hawaendi kanisani Jumapili? Wanavunja taratibu za kikristu? Vita/Adui hazina formula! Kwa hiyo adui akiwaamuru hao wananjeshi mabinti wavue nguo ili waachiliwe mateka au wakiwa kwenye situation inayowalazimu kuvaa chupi tu, wataweza kweli? Au wataweka maisha ya raia rehani? Kumbuka mwanajeshi anapaswa awe tayari kufa kwa ajili ya nchi/raia.
 
Umeongea jambo muhimu sana kwa maslahi ya taifa.

Siamini. Nadhani ni uzushi.

Ni kweli wanajeshi wakristo hawasali j2.

Ni kweli wanajeshi hawaruhusiwi kwenda kanisani j2.

Kama ni kweli. Nipo tayari kuwatetea.

Na swali la msingi ni je uniform za jeshi zinakiuka values za kanisa.

Pili je mwanajeshi hawezi kulitumikia jeshi na wakati huo huo kupractice ya imani yake
 
Angalia

Angelia huko Dubai, Serikali imepiga marufuku masheikh kama Nyinyi mnaohubiri kujitenga na jamii za dini nyingine

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1798250178954088475

Ndugu nikukumbushe kidogo kuhusu mada hii.

Tunaongelea violation of law in the name of Secularism.

Hata yanayofanywa na serikali yetu Putin katia Violation of Secularism, right and freedom of Religion.

View: https://youtu.be/K78m31AMnRk?si=2LrPxmuOlV9qbPX2

Je tukae kimya kwa sababu ninyi wenzetu hamna uvumilivu.

Tukae kimya tuendelee kuona katiba inavunjwa kwa kuogopa kuitwa majina mabaya ya hate speech wakati huo huo ninyi wangekuwa mashoga wanapigania haki zao angesema freedom of expression.

will u allow to learn
 
Attachments

  • 20240605_125004.jpg
    20240605_125004.jpg
    585.4 KB · Views: 0
  • 20240605_125031.jpg
    20240605_125031.jpg
    605.9 KB · Views: 0
Ndugu nikukumbushe kidogo kuhusu mada hii.

Tunaongelea violation of law in the name of Secularism.

Hata yanayofanywa na serikali yetu Putin katia Violation of Secularism, right and freedom of Religion.

View: https://youtu.be/K78m31AMnRk?si=2LrPxmuOlV9qbPX2

Je tukae kimya kwa sababu ninyi wenzetu hamna uvumilivu.

Tukae kimya tuendelee kuona katiba inavunjwa kwa kuogopa kuitwa majina mabaya ya hate speech wakati huo huo ninyi wangekuwa mashoga wanapigania haki zao angesema freedom of expression.

will u allow to learn

Sasa nikwambie? Huyo Putin wako ni mwanasiasa. Kwa sasa anajua anachokitafuta kutoka kwa Maislamists. Agenda yake kubwa ni kuvunja dominance ya US kama superpower ili yeye ndiyo achukue hiyo nafasi. Anajua Maislamists kupitia Muslim Brotherhood mmejipenyeza ktk serikali za magharibi. Anaunga urafiki na Waislamu ili mumufanyie hiyo kazi from within the US Govt. Kinachoenda kutokea:
1. Maislamists hamtashinda hiyo vita, kwa sababu Biblia inasema US na Washirika wake hasa UK wataendelea kuwa superpower mpaka kiama kinakuja
2. Nyinyi Maislamists kwa jinsi msivyotosheka na madai yenu kwa Serikali, mtamkera tu Putin, kwa kuendelea kuleta madai yenu yaliyopitiliza. Nikuambie kwa HERUFI KUBWA, PUTIN NA SERIKALI YAKE NDIYO WATAKUWA WAKWANZA KUIPIGA MARUFUKU DINI YA UISLAM; TUNZA MANENO YANGU
 
Sasa ile clip ulileta mwanzo ya serikali ya falme za kiarabu zimefuta usajili wa taasisi zinazopinga urafiki kati ya falme za kiarabu na Waisrael na wamarekani. Hapo hapo unasema Islamists wanaunga mkono utawala wa Marekani. Unajichanganya. Putin kaweka wazi hoja yake. Anapinga tawala wa nchi zilizotokana na umarx kama rusia yenyewe au tz kuvunja haki za wenyedini kuzuiwa kupract imani zao na kuheshimu haki zao walizopewa na katiba ya uhuru wa kuabudu kwa migongo wa Usekyula.

Usekyula na serikali kutokuwa na dini haina maana ya kuwadhibiti na kuwabadua wenye dini bali maana yake Usekyula unawalinda.

Na hiki ndicho nachojaribu kuwazondua watz walio na masikini wa maarifa.
 
Mohamed, a wali ya yote niseme kuwa you’re very civil, jinsi unavyoeleza hoja yako bila migrenko, kudos.
Nimeweka ile clip ya UAE kuwaonyesha watanzania kuwa waarabu wenyewe wameamua kudhibiti kupitia takwa la kuwa na licence preacher wote wa islam kwa sababu wamebaini kuwa kuna wahubiri wa kiislamu wanajipenyeza humo na kueneza chuki dhidi ya jamii nyingine; na hata ukifuatilia unakuta hayo wanayofundisha hayako kwenye Al-furqaan. Halafu uko Sikiliza unaona msemaji wa UAE akisema tatizo wameliona linatokea kwenye kichaka cha Freedom of Speech.
Ukiunganisha na Chako ni kuwa unaweza jificha kwenye Katiba yetu kikuta Uhuru wa Kuabudu lakini kumbe unapenyeza agenda zako za kiislamist na hata ukute hiyo Quran haikazii jambo Hilo. U Tanzania wetu ndiyo liwe jambo la kipaumbele, dini zifuate baadae; zisituharibie harmony yetu. Huyo Putin mnayefikiri ni Rafiki wa Islam nakuambia siku iko karibu sana ambapo atawafurahisha. Nyinyi mmezoea kuwachezea nchi za magharibi kwa sababu ya democracy. Kwa Putin siku mkimgusa pabaya tu mjue mmekwisha. Ombeni kimkute cha Raisi, kabla ile vita ya Ukraine haijaisha
 
Ndugu yangu niko tayari uniite jina baya wafanya wapate kunihukumi. Umeniita Islamist, wengine wameeniita siasa kali. Mimi najipambanua kuwa ni mwenye siasa kali kupindukia.

Niite kwa jina hilo
Hata hivyo ukiniita tu ujue hiyo ni "The last kicks of a dying horse"

Nchi zote zilizotawakiwa na Ujamaa huviolete dhana ya Usekyula kwa kudhibiti baadhi ya dini. Kwa kugundua hilo putin anajaribu kusawazisha. Hizo ndizo akili. Hajaathiriwa kiwango hicho. Na hiyo ndio heshima anayotaka ibaki hata akiondoka.

Likini kwa nchi za kiliberari kuna nafuu kidogo. Kwa kuka itikadi yao nu kukinda makundi yote ya dini.

Hata hivyo mi si muumini wa mliberali. Mimi ni muumini wa cultural Diversity au udaivasi.

Turudi ktk nchi za kiliberali.
Majeshi na idara za polisi na magereza ktk nchi hizo zina kitu kinaitwa THE GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.

Sehemu ya guide hiyo inasema na nanukuu.

The Armed Forces recognise that individuals with specific religions or beliefs generally welcome the opportunity to wear clothing with significance to their religion or belief. This is reflected in the Services’ dress regulations that
take account of cultural and religious differences such as permitting individuals to wear items of religious significance and Muslim women to cover
their arms, legs and head in all aspects of their work. More detailed information on religious dress in the Armed Forces can be found at Annex A.
For operational and health and safety reasons, members of the Armed Forces may have to be flexible in some circumstances.

However, the Armed Forces’
policy is to ensure that any such restrictions regarding clothing to be worn in an operational environment are genuine requirements on grounds of
operational effectiveness or health and safety.

Muhimu: General dress codes which conflict with religious or belief requirements may constitute indirect
discrimination under the Equality Act unless they can be justified.

Freedom of religion should not be violated by States in the context of counter-terrorism responses or Secularism as idelody.

States also have accompanying responsibilities to ensure that fundamental rights and freedoms are not violated by non-States entities such as terrorist actors.

Not only is this freedom protected in international and regional treaties, but those policies that limit freedom of religion to counter-terrorism might fuel religion-related terrorism.

Counter-Terrorism Module 13 Key Issues: Freedom of Religion

Kwa ufupi kile kinachoitwa serikali haina dini .... niki ni kichaka kwa tz kuzuia baadhi ya wetu wenye imani zao.

Na tafiti zinaonyesha nchi nyingi zilizojipambania hazina dini zimeonekana kupendele na kuminya dini nyingine.

Kwangu tz yaweza kuwa ni case study.

Ndio maana haki kama hii watendaji wanasoma humu wanaielewa lakini wanakausha

Sheria kama ya ugaidi ambapo wanaokaamatwa ni waislam hata mfanya tukio akiwa si muislam.. waislam lazima wasombwe.

Sheria kama ya ugaidi ambapo wanaokaamatwa ni waislam hata mfanya tukio akiwa si muislam.. waislam
Masheikh kama hawa ndiyo Serikali ya UAE imewapiga marufuku. Na hapa kwetu wakichekewa wanaweza tupeleka pabaya

View: https://x.com/dahrinoor2/status/1798826316965552383
 
Back
Top Bottom