Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Akili nusu😂😂 ila acha mkome maana tulio real mnatuonaga washamba na mnatutapeligi sana,

Wanajiweka hivyo ili kujitengenezea mazingira mazuri ya kupiga mizinga mikubwa mikubwa
 
Inaboa hata kumshirikisha dili za maendeleo huwezi coz maisha yake 90% ni fake. Anakwambia saivi nimepata appartment nzuri kumbe anaishi single room tu.

Kama wapo humu jamani tuambieni lengo lenu hasa huwa nini.??
 
Inaboa hata kumshirikisha dili za maendeleo huwezi coz maisha yake 90% ni fake. Anakwambia saivi nimepata appartment nzuri kumbe anaishi single room tu.

Kama wapo humu jamani tuambieni lengo lenu hasa huwa nini.??
Hayo Ni maandalizi ya kuwachuna parefu,

Kuwa real kuna faida Sana kwa mwanamke katika mahusiano, Basi tu hawajui
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, these morons that are not even 'wife material' kwa nn unahangaika nao?

Mwisho watakupiga hiyo ndinga mada si mrefu!
Ha ha ha ha ha ha ha si unajua katika dating pool huwezi kosa masamaki yasiyolika..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo Ni maandalizi ya kuwachuna parefu,

Kuwa real kuna faida Sana kwa mwanamke katika mahusiano, Basi tu hawajui
Daah lakini kwa mwanaume kujua kua unadanganywa kuhusu maendeleo ni kitu rahisi coz na sisi ni waongo wa hayo mavitu ila tu hawa ndugu zetu wanazidi uongo mpaka unaona huyu mtu ananipumzikia sasa.
 
Na kweli. Sijui chuo kuna kozi za uongo wanatoa siku hizi maana vibinti vya chuo ni viongo balaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Vinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....

Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.

Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.
 
Daah lakini kwa mwanaume kujua kua unadanganywa kuhusu maendeleo ni kitu rahisi coz na sisi ni waongo wa hayo mavitu ila tu hawa ndugu zetu wanazidi uongo mpaka unaona huyu mtu ananipumzikia sasa.
Pengine Ni ili umuone ni akili kubwaz😂😂 muwahurumie tu maana wanaishi maisha magumu mno watu aina hiyo
 
Anza kutembea na biblia ama msahafu kwenye gari iliwakianza uongo wao tu ww nae unawatolea biblia unawambia ngoja uwai kwenye maombi utamshtua ukitoka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kitu inanichosha sana Yaani karibia list nzima ya marafiki zangu nilio toka nao vyuoni na secondary ndio wapo hapa si wakiume si wakike [emoji23][emoji23]....

Kuna huyo jamaa kipindi tupo secondary aliku anakuja kabisa hadi nguo kunyoshea maskani kwetu lkn tukitoka nje unaweza zani mimi ndio natoka kwao na yeye kwetu.... Nguo zangu pamba nimenunuliwa Nilikua navaa kujisitiri sijui kupangilia.... Ila akizichukua yeye unaweza sema ni za kwako mimi ndio nilikua naazima [emoji23][emoji23][emoji23]

Wote hao ukicheki status zao what's up mbona utakubali mambo yao..... Ila wengine hadi Leo wapo makwao ni miaka sasa imepita tangu tuachane na vyuo...... Na vitanda wanavyo tumia ni vile walivyo kojolea utotoni hadi Leo... Yaani wameshindwa hadi kununua godoro LA elfu 60...ila ukiwakuta nje walivyo pendeza utakimbia... Lkn wanapiga mizinga hadi hela za kunyolea ndevu
 
Kaka ukimchunguza sana Bata hutamla...huwa tunajitahidi sana tusiwachunguze hawa viumbe na kutokuwa na attachment za ajabu ajabu ilimradi upate appetite ya kumla....Maana kapu lao limejaa mambo meusi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,Sasa anadhani alikuwa anakukomoa au?..fake life ni mbaya sana
 
Hahaaaaaa, wewe jamaa unaokutana nao Wana upungufu wa akili.
 
Me mwanamke sasa hadi nifanane tabia na wanawake?! Halafu sijakwambia hawa ni wanawake ninao date nao. Nimekwambia ni tabia nimeiona kwa baadhi ya watoto wa kike.....

Sio wote wapo hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi tabia ya kuazimana magari ni uswahili sana.

Ila pia nawe unakabaaa, hadi ukawekwa nusu saa nzima....yaani hadi kwenye ATM ukaenda ukashindwa kutoa hata buku ya bodaboda, acha unaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…