Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 780
- 2,269
😅 mleta mada yanayomkuta ni makubwa...Wenyewe ndio mnawaita pisi kali eenh
Hebu namba yakoNaona umeamua kuja kunisema huku. Sawa sirudii mkuu.
Au ndiyo wewe nini????Wanaume wa jf kwa gubu[emoji119][emoji119][emoji119]
Ndege wafananao....
Bora ulivomuuliza,hakuna kulea ujinga mkuuVinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....
Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.
Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ndio huwa wanaambulia mimba za wanaume za watu wanaachwa solemba. Mimi kwanza binti akishakuwa above 23 years halafu hana ramani ya kueleweka ya maisha, haueleweki anaishi na nani, anapata wapi matumizi yake, analala wapi huwa nakaa nae mguu pande kwakweli.Mzee hao ni kunguru wa dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo Hana kazi Wala ramani mjini, kaona gari akajua uko vema sasa shobo Kama zote[emoji23][emoji23]
Sasa hiyo buku ningempa still angeikwepa aseme nimpe ufunguo aende na gari. I doubt hata kama ana leseniHivi tabia ya kuazimana magari ni uswahili sana.
Ila pia nawe unakabaaa, hadi ukawekwa nusu saa nzima....yaani hadi kwenye ATM ukaenda ukashindwa kutoa hata buku ya bodaboda, acha unaa
Hawa si wanawake ambao ni target yangu bali natokea kuwaona ndio nawazungumzia hapa........sasa nikaona nishare nanyi muone changamoto ya hawa viumbe.Ushajiuliza kwann unakutana na wanawake wa aina hiyo, maana wanawake wasio wa aina hiyo ni wengi pia boss.
Aaaaah we subutu yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kumbe na wewe ni muongo muongo...Naona umeamua kuja kunisema huku. Sawa sirudii mkuu.
Hawa wengi wao me naona wanaelekea kubaya sana maisha yao kwa baadae. Sababu kwa maisha ya uongo hivi lazima wavutie wanaume matapeli ambao wataishia kuzinguana nao siku za mbeleni.Kama na wanawake wamefikia hatua hyo basi tutegemee kupata kzazi cha hovyo haswa,ila dar sio mahali pazur pa kulelea familia,uongo mwing sana
Sasa unaona wa umri kama huu tayari kutokana na tabia zake za uongo uongo hawezi ishi na mtu, anaishia kubangaiza na kila mwanaume.Ma slay Queen
Kipindi niko chuo kuna mdada wa makamo ana mtoto nilikuwa namtafuna halafu nampa chake alikuwa kanizidi umri wakati ule Nina early 20s ye Ana late 30s
Alinidanganya mengi nyumba anayokaa ni kwao baadae nikagundua amepanga hapo maana kuna mwanangu alipanga hapo anapokaa
Alishawahi niambia ana saloon zake kumbe hamna kitu kaajiriwa tu
CEO anaomba vocha ya buku... [emoji23][emoji23][emoji23]Akuna wadada waongo Kama wa Chuo ,Q net ,slay queen wa Instagram utasikia I'm C.E.O of my own life
Kuna kidemu nilikikuta club kinanambia kinasoma Chuo , ajui hata Kuna degree ya comp science/IT