Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Hiyo wahuni wanaita " kulala dago"


Ndo mitindo ya mademu wengi [emoji28]

Na mademu dizaini hyo ukishakua na ghetto nzuri tu basi ushamaliza kazi
 
Kuna mmoja huyo anaishi masaki, wazazi wake wako nje na yeye ni mmoja baina ya watoto wachache waliozaliwa via (family planning).

Anaishi apartmemt na mume wake na mume wake anafanya kaz moja ya sehem za kukusanya mapato makubwa makubwa kwa taifa.

Picha zake ni yupo mliman city, au yupo karib na sea clif!
Vilevi vilivyopo kwenye friji majina yake sikutaka kuyakariri maana niliona yananiumiza kichwa kama definition ya archmedes principle au law of floatation.

Alivyonizoea virungu vya 50, 50 haviishi.

Kibaya zaidi unaweza mpa 50 akasema hii hata sijui robo ya kilevi gan haifiki, mara peruviana hair haitoshi...

Ila nikagundua pia sio mm tu wanaume kibao anawapanga hivo hivo!
Nikavuta picha ya mjomba wangu kijijin vile nikienda na kumuona alivyo huku mwanamke anakuomba elf 50 ukimsaidia anasema haitosh nikasema hapa nachuma dhambi.

Yule aliesema wanajiweka hivo wakupige pakubwa nimemuelewa maana unapewa proposal ya 5m in simple language, can you assist me such money (5m) nifanye renovation ya saloon fulan pale masak ili niweke issue zangu sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mzigo, yan town palivyo pamoto hivi umpe tu mtu gari lako na laki juu, wawe wanaangalia na wenyewe daaah ahahahaha
 
2017 au 2018 nilikutana na kamoja kwenye Viunga vya jiji la Makonda enzi hizo nikaauliza most of your time unakua wapi kakasema kanasoma Nursing UDSM nikaambia na Mimi ninasoma Medical Doctor chuo cha DUCE, cha ajabu kakafurahia sana hilo.

aisee nyie wazee mnakutanaga nao mitaa gani ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah
 

Mimi kama nampa mtu gari lazma aache 300k pembeni ya emergence, unampa mtu gari anaenda pigia mingo kwa madem zake anarudisha gari asbh imechafuka, kuna wenginr sio wastaarabu kabsa anafanyia uchafu ndani humohumo. Nampa mtu gari nae muheshimu ila masela wengine lazma aache 300k pembeni ya ermegence
 
Asalaleeh!
 
Mbona umepanic hivi na kuanza kumu "attack" mtoa mada, anekushika au amekukumbusha?

Sometimes you just need to agree by disagreeing..!!!!

#YNWA
 
Hao ndo wa kunifowardia namba zao tuigiziane mpaka mmoja akimbie shindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…