Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Apartment unakuta anaishi yale mageto yao wanakaa tisa kidogo. Hapo wanawekeana zamu ya kulala, wengine wakienda kudanga, wengine wanalala. Nilienda moja hiyo nikiwa na rafiki zangu, wakatukaribisha ilikuwa sikukuu, tulinunulishwa mchele na nyama ya ng'ombe na soda kreti moja.

Walishukuru sana maana pasaka ilikuwa inawaendea kushoto....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo wahuni wanaita " kulala dago"


Ndo mitindo ya mademu wengi [emoji28]

Na mademu dizaini hyo ukishakua na ghetto nzuri tu basi ushamaliza kazi
 
Kuna mmoja huyo anaishi masaki, wazazi wake wako nje na yeye ni mmoja baina ya watoto wachache waliozaliwa via (family planning).

Anaishi apartmemt na mume wake na mume wake anafanya kaz moja ya sehem za kukusanya mapato makubwa makubwa kwa taifa.

Picha zake ni yupo mliman city, au yupo karib na sea clif!
Vilevi vilivyopo kwenye friji majina yake sikutaka kuyakariri maana niliona yananiumiza kichwa kama definition ya archmedes principle au law of floatation.

Alivyonizoea virungu vya 50, 50 haviishi.

Kibaya zaidi unaweza mpa 50 akasema hii hata sijui robo ya kilevi gan haifiki, mara peruviana hair haitoshi...

Ila nikagundua pia sio mm tu wanaume kibao anawapanga hivo hivo!
Nikavuta picha ya mjomba wangu kijijin vile nikienda na kumuona alivyo huku mwanamke anakuomba elf 50 ukimsaidia anasema haitosh nikasema hapa nachuma dhambi.

Yule aliesema wanajiweka hivo wakupige pakubwa nimemuelewa maana unapewa proposal ya 5m in simple language, can you assist me such money (5m) nifanye renovation ya saloon fulan pale masak ili niweke issue zangu sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually mkuu sipo katika hiyo circle, ni watu ambao nakutana nao by chance. Inapotokea nimekutana nao huwa ninawabaini haraka sana na kuwajua..... Maana huwa zengwe zao watajizungusha atakwambia kila aina ya story ila mziki utakuja kwenye hela na matumizi wanakuwa watupu.

Haoni shida kukwambia umpatie laki atakurejeshea akitoka benki kulipia mzigo.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliza sasa mzigo gani kama utapewa jibu.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mzigo, yan town palivyo pamoto hivi umpe tu mtu gari lako na laki juu, wawe wanaangalia na wenyewe daaah ahahahaha
 
2017 au 2018 nilikutana na kamoja kwenye Viunga vya jiji la Makonda enzi hizo nikaauliza most of your time unakua wapi kakasema kanasoma Nursing UDSM nikaambia na Mimi ninasoma Medical Doctor chuo cha DUCE, cha ajabu kakafurahia sana hilo.

aisee nyie wazee mnakutanaga nao mitaa gani ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah
 
Ha ha ha ha hadi siku mtu akuazime gari yako halafu achelewe kukurejeshea atakapokupigia simu akwambie bro, naomba tuzungumze, ndipo utaelewa....

Gari sio pasi kusema ikiharibika au ikizingua utatoa 45,000 ununue nyingine.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi kama nampa mtu gari lazma aache 300k pembeni ya emergence, unampa mtu gari anaenda pigia mingo kwa madem zake anarudisha gari asbh imechafuka, kuna wenginr sio wastaarabu kabsa anafanyia uchafu ndani humohumo. Nampa mtu gari nae muheshimu ila masela wengine lazma aache 300k pembeni ya ermegence
 
Apartment unakuta anaishi yale mageto yao wanakaa tisa kidogo. Hapo wanawekeana zamu ya kulala, wengine wakienda kudanga, wengine wanalala. Nilienda moja hiyo nikiwa na rafiki zangu, wakatukaribisha ilikuwa sikukuu, tulinunulishwa mchele na nyama ya ng'ombe na soda kreti moja.

Walishukuru sana maana pasaka ilikuwa inawaendea kushoto....

Sent using Jamii Forums mobile app
Asalaleeh!
 
Kwa mkonk wako umetype kuwa hizo tabia zilikuwa kiumeni😂 kwahiyo Ni wazi na wewe Ni kaongo kaongo tu😂,

Uliowaelezea wote umekuwa nao kingono ama ulitaka kuwa nao kingono

We Ni walewale

By the way tumejua una gari😂😂😂
Mbona umepanic hivi na kuanza kumu "attack" mtoa mada, anekushika au amekukumbusha?

Sometimes you just need to agree by disagreeing..!!!!

#YNWA
 
Vinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....

Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.

Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.
Hao ndo wa kunifowardia namba zao tuigiziane mpaka mmoja akimbie shindano
 
Back
Top Bottom