Uko sahihi kabisa, Mimi nilipata mwanamke mjini akiwa na miaka 23 hajaguswa kabisa yaani ni mpya kafungwa kwenywe karatasi lake Ili hali kijijini wa miaka 18 alishamsahahu hata aliyemtoa bikra yake
Mabinti wengi sana wanaotokea kwenye familia duni wanasagika sana, wengi wanashindwa kuvumilia shida za nyumbani kwao na kuanza kugawa mbususu wakiwa wadogo sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.