😘😘My daughter will always be my daughter, whether she is 15 or 90...and my home is her home forever!
Ataondoka akitaka na atarudi wakati wo wote akitaka. This is her safe place akichoshwa na dunia huko anarudi kwenye usalama wa baba yake.
Tatizo lako unaogopa maisha changamoto wameumbiwa wanadamu hakuna sehemu ambapo hakuna changamotoUnavyoongea ni kama vile ndoa zote ni paradiso ndogo. Huko ndoani kuna watu wametiwa ulemavu wa kudumu, kuna watu wamekatishwa uhai kikatili, kuna watu wapo jela kwa sababu ya matukio ya ndoani, kuna watu wamegeuka mizoga inayotembea kisa mambo wanayokutana nayo huko. Sikatai ndoa ni muhimu lakini hai - guarantee furaha kwa kila anayeingia...ni kama kubeti tu unaweza kula au kuliwa
Exactly wanakua na kiburi, jeuri hawatimizi wajibu wao kwenye ndoa wakijua nyumbani bado vyumba vyao vipo na watapokelewaAende akaolewe na kujitegemea na awe na uwezo wa kujikwamua kiuchumi, Acheni uoga wafukuzeni msiwalundike lundike majumbani hovyo.. wana changia sana kuharibu mabinti wanaojielewa.
Mzazi ukisha mkingia binti yako kifua hawezi kuolewa ndio atakua anakataa wanaume wanao mposa na kuwajibu hovyo.. pia ikumbukwe mzazi kumkingia binti kifua ni kumwekea security kwamba hata akiolewa atarudi nyumbani na ndio maana hawadumu kwenye ndoa cz wanajua wazazi wapo..
Mkuu, kuolewa ni bahati,Binti anaweza akachumbiwa na wengi lkn asiolewe kwa sababu hajaona anayeweza kuishi naye,tunaweza tukawalaumu Binti zetu kuwa wanachagua wanaume lkn tuangalie pia maamuzi yao,bint hawezi kumkataa kijana pasipo sababu,kumbuka yy ndo anayeenda kuishi na huyo mtu,ndio maana akimkataa lazima tukubali maamuzi yake,imagine mtoto wako wa kike umemlazimisha aolewe na mtu ambaye hajampenda kwa sababu tu umemlazimisha,then siku anarudi nyumbani ana alama au amewekewa kilema kabisa utajiskiaje kama mzazi wake?? Mi nafikiri tu tuwaombee mabint zetu wapate wenzao wema,na kama hajataka kuolewa tusiwalazimishe Bali tuwakemee pale watakapoonesha mienendo mibaya kwa wazazi.Aende akaolewe na kujitegemea na awe na uwezo wa kujikwamua kiuchumi, Acheni uoga wafukuzeni msiwalundike lundike majumbani hovyo.. wana changia sana kuharibu mabinti wanaojielewa.
Mzazi ukisha mkingia binti yako kifua hawezi kuolewa ndio atakua anakataa wanaume wanao mposa na kuwajibu hovyo.. pia ikumbukwe mzazi kumkingia binti kifua ni kumwekea security kwamba hata akiolewa atarudi nyumbani na ndio maana hawadumu kwenye ndoa cz wanajua wazazi wapo..
[emoji23][emoji23]Utawafukuza wataenda wapi mkuu na sisi tumeshasema kataa ndoa?
Wanaume wapo wa kuoa ila mnataka muolewe na matajiri na wengi wa matajiri wana wake tayariMnaanza kuwalazimisha? Ndo hivyo hawataki...
Fukuza watoto wako, wa kwetu hatutawafukuza na hata wasipoolewa ni sawa. Wanaume wenyewe adimu
Mim binti afikishe miaka 30 hajaolewa anaishi nyumbani namfukuza tu unless awe haishi na mimi anajitegemea na sio binti hata mtoto wa kiumeMkuu, kuolewa ni bahati,Binti anaweza akachumbiwa na wengi lkn asiolewe kwa sababu hajaona anayeweza kuishi naye,tunaweza tukawalaumu Binti zetu kuwa wanachagua wanaume lkn tuangalie pia maamuzi yao,bint hawezi kumkataa kijana pasipo sababu,kumbuka yy ndo anayeenda kuishi na huyo mtu,ndio maana akimkataa lazima tukubali maamuzi yake,imagine mtoto wako wa kike umemlazimisha aolewe na mtu ambaye hajampenda kwa sababu tu umemlazimisha,then siku anarudi nyumbani ana alama au amewekewa kilema kabisa utajiskiaje kama mzazi wake?? Mi nafikiri tu tuwaombee mabint zetu wapate wenzao wema,na kama hajataka kuolewa tusiwalazimishe Bali tuwakemee pale watakapoonesha mienendo mibaya kwa wazazi.
Nakataa kuolewa sio bahati wanachagua sana na huo nauhakika 100 alafu kitu kingine mwanamke hapendagi in first place anapendaga mbele ya safariMkuu, kuolewa ni bahati,Binti anaweza akachumbiwa na wengi lkn asiolewe kwa sababu hajaona anayeweza kuishi naye,tunaweza tukawalaumu Binti zetu kuwa wanachagua wanaume lkn tuangalie pia maamuzi yao,bint hawezi kumkataa kijana pasipo sababu,kumbuka yy ndo anayeenda kuishi na huyo mtu,ndio maana akimkataa lazima tukubali maamuzi yake,imagine mtoto wako wa kike umemlazimisha aolewe na mtu ambaye hajampenda kwa sababu tu umemlazimisha,then siku anarudi nyumbani ana alama au amewekewa kilema kabisa utajiskiaje kama mzazi wake?? Mi nafikiri tu tuwaombee mabint zetu wapate wenzao wema,na kama hajataka kuolewa tusiwalazimishe Bali tuwakemee pale watakapoonesha mienendo mibaya kwa wazazi.
HATUTAWAFUKUZA. FUKUZA WA KWAKO WAKAWE MACHOKORAAWaoaji wapo wengi.. tatizo mnawafuga mwisho wa siku wanakua wamejazana nyumbani tena kwa dharau wanawaletea na vitoto ambao hawajui hata baba zao ni kina nani.. Acha mara moja hiyo tabia ya kuwa kingia kifua okoa kizazi na Fukuza akafunzwe na ulimwengu...
Nani aliyekudanganya kila aliyefukuzwa atakua chokoraa, mtoto anayejitambua iwe me au ke lazima atajiongeza ataondoka nyumbani mapemaHATUTAWAFUKUZA. FUKUZA WA KWAKO WAKAWE MACHOKORAA
Hata iweje hatutawafukuza. Habari ndo hiyoNani aliyekudanganya kila aliyefukuzwa atakua chokoraa, mtoto anayejitambua iwe me au ke lazima atajiongeza ataondoka nyumbani mapema
Ukishaona mtoto wako anangangania nyumbani ujue huna mtoto bali zoba
Wewe pambana tu na umasikini wako. Watachagua wanayemtaka na msipowataka ni sawa pia hata wasipoolewa haina tatizo. Ni maamuzi...ndoa haijawahi kuwa lazima.Wanaume wapo wa kuoa ila mnataka muolewe na matajiri na wengi wa matajiri wana wake tayari
Huu ni ukweli mchungu na inabidi nami nikimaliza chuo nisepe kwa njia yoyote ile sina jinsi kabisa 😢😢Nani aliyekudanganya kila aliyefukuzwa atakua chokoraa, mtoto anayejitambua iwe me au ke lazima atajiongeza ataondoka nyumbani mapema
Ukishaona mtoto wako anangangania nyumbani ujue huna mtoto bali zoba
Nilishakuambia mim ni maskin au nilishakuja kukulia shidaWewe pambana tu na umasikini wako. Watachagua wanayemtaka na msipowataka ni sawa pia hata wasipoolewa haina tatizo. Ni maamuzi...ndoa haijawahi kuwa lazima.
Kama wewe ni mzazi hakuna kitu kinachouma kuona mtoto wako yuko nyumbani anaogopa kujitegemea ni kitu ambacho kinaumiza sana wazaziHata iweje hatutawafukuza. Habari ndo hiyo
Hamuezi fanana hata siku moja.Kwani mpaka uwe umeumwa ngoma ndio ujue madhara na tiba yake?
Kujitegemea atajitegemea lakini si kumfukuza eti akaolewe? Ndoa zenyewe hizi🙄Kama wewe ni mzazi hakuna kitu kinachouma kuona mtoto wako yuko nyumbani anaogopa kujitegemea ni kitu ambacho kinaumiza sana wazazi
Na kwenye familia mtoto anayejitegemea anapewa heshima kubwa sana zaid ya yule ambaye yuko nyumbani
Umejuaje ya kwamba siishi kwa wazazi wangu??Mbona ww uliye letwa na sitarehe ya mama na baba yako hauishi kwa hao wazazi wake?