Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Kwanza jiulize,hao mabinti "wanaokataa kuolewa"wanatoka katika malezi gani,familia zipi?Habari za wakati huu ndugu zangu.
Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha kujiona wao ni wao na wanaweza kuishi wenyewe bila kua na mwanaume atakae kua kichwa.
Mtazamo huu umechangia sana wanawake wengi kukataa wanaume wanaokuja kuwa chumbia kwa lengo la kuwa oa na kuweka ndani kama mke halali, na hili limechangiwa sana na kuiga wanawake wenzao hasa wanao wadanganya ndoa ni chungu, ndoa ni karaha, mwanamke ni jeshi kubwa, mwanamke anaweza, mwanamke ni mpambanaji na nguvu kubwa sana inayotoka kwa masingle maza walio zalishwa na kuachika kutokana na tabia zao mbaya.
Mabinti wengi sana wameharibika na kuwaharibu wale wenzao wachache walio salia salia na tabia njema, inasikitisha sana kukuta binti wa miaka 15+ anao mtazamo wakuja kuishi mwenyewe bila mwanaume naye anasema hataki kuolewa, tena anafika mbali zaidi ana kuambia nitazaa tuu na nitalea mwenyewe. Hebu jiulize hii elimu au huu mtazamo kaupata wapi kama sio kutoka kwa wanawake wenzake/ mabinti wenzake / hawa hawa masingle maza wanao ongoza kuharibu mabinti kwa kuwaambia kuishi na mwanaume ni utumwa.
Swala hili limesababisha sana wanawake wengi/ mabinti wengi kwa sasa kukataa wanaume pale wanapotongozwa kwa nia ya kuolewa na wengine kufikia mbali kutaka tuu mbegu na ukimpa mbegu hapo anakuona wewe huna thamani tena na sio kitu. Wengine wanakataa wanaume mpaka wanakuja kujutia ukubwani anapopita umri wa kuolewa nakuja kugundua kwamba walidanganyika na hawawezi tena kurudisha siku nyuma kutokana na kupoteza mvuto kwa mwanaume na hivyo kubaki kwa wazazi wao, majumbani au kwenye himaya za koo zao, ndugu jamaa na marafiki wakiwa magroup kwa magroup huku wakiendelea na kuharibu mabinti wanao chipukia wenye nia na ndoto za kuolewa na kuishi mume na mke.
Hivyo kama unaye binti au unaye mwanamke ambae hajaolewa nayupo katika umri wa kuolewa huyo ni hatari kwa kizazi cha mabinti wa sasa huyo mfukuze nyumbani acha maramoja kumchekea chekea hakika kwa kufanya hivyo ulimwengu utamchapa na hamu ya kuolewa itamjia na atajifunza mengi sana kuhusu maisha ya upweke kwa kweli.
Mfukuze kabisa nyumbani mwache ulimwengu ukamfunze thamani ya kuwa na mwanaume na kuolewa na ukamshape namna ya yeye kubehave kama mwanamke mbele ya wanaume.
Hukumuelewa mleta uzi anamaanisha unakaa nyumban na una umri wa kuolewa na bado anakaa nyumbani anamfukuzaKujitegemea atajitegemea lakini si kumfukuza eti akaolewe? Ndoa zenyewe hizi🙄
Ataenda kujitegemea akitaka na ataolewa akitaka. Asipotaka akae hapo nyumbano hadi azeeke.
May be I am. Hizi ID fake hizi huwezi jua....[emoji16][emoji16][emoji16]For the moment i thought ur my dad....mwezi mmoja uliopita aliniambia maneno kama haya. Big up mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Mkuu ni kweli...baba mwenye mtoto wa kike hawezi hata kuwaza huu upuuzi. Baba zetu wanavyotupenda[emoji7]Majitu mengine yakishalewa hukurupukia humu kutafutia usingizi. Inawezekana hata mtoto huna.
Zaa wako wa kike uone uchungu wake wa kumzaa, kuhangaika nae na malezi, shule na kuzeekea nyumbani bila kuolewa na umtimue kama una uthubutu huo. Sasa ukishamtimua ndo umejenga au umezidi kumsababishia despression huyo mtoto?!
Hovyo kabisa! [emoji57][emoji57][emoji57]
Si wote. Mababa wendawazimu bado wapo dunia hii hii wana-existMkuu ni kweli...baba mwenye mtoto wa kike hawezi hata kuwaza huu upuuzi. Baba zetu wanavyotupenda[emoji7]
Mimi nitamwambia mapema kama unataka kuzaa nenda kwako ila kuzalia nyumbani niwe nalisha Mimi Hilo hapana nitamtimua.Habari za wakati huu ndugu zangu.
Wazazi wamekua wakijitahidi kulea mabinti zao vyema japo Lipo wimbi kubwa sana la wanawake kubweteka na kua malimbukeni kupita kiasi, hali hii imesababisha kujiona wao ni wao na wanaweza kuishi wenyewe bila kua na mwanaume atakae kua kichwa.
Mtazamo huu umechangia sana wanawake wengi kukataa wanaume wanaokuja kuwa chumbia kwa lengo la kuwa oa na kuweka ndani kama mke halali, na hili limechangiwa sana na kuiga wanawake wenzao hasa wanao wadanganya ndoa ni chungu, ndoa ni karaha, mwanamke ni jeshi kubwa, mwanamke anaweza, mwanamke ni mpambanaji na nguvu kubwa sana inayotoka kwa masingle maza walio zalishwa na kuachika kutokana na tabia zao mbaya.
Mabinti wengi sana wameharibika na kuwaharibu wale wenzao wachache walio salia salia na tabia njema, inasikitisha sana kukuta binti wa miaka 15+ anao mtazamo wakuja kuishi mwenyewe bila mwanaume naye anasema hataki kuolewa, tena anafika mbali zaidi ana kuambia nitazaa tuu na nitalea mwenyewe. Hebu jiulize hii elimu au huu mtazamo kaupata wapi kama sio kutoka kwa wanawake wenzake/ mabinti wenzake / hawa hawa masingle maza wanao ongoza kuharibu mabinti kwa kuwaambia kuishi na mwanaume ni utumwa.
Swala hili limesababisha sana wanawake wengi/ mabinti wengi kwa sasa kukataa wanaume pale wanapotongozwa kwa nia ya kuolewa na wengine kufikia mbali kutaka tuu mbegu na ukimpa mbegu hapo anakuona wewe huna thamani tena na sio kitu. Wengine wanakataa wanaume mpaka wanakuja kujutia ukubwani anapopita umri wa kuolewa nakuja kugundua kwamba walidanganyika na hawawezi tena kurudisha siku nyuma kutokana na kupoteza mvuto kwa mwanaume na hivyo kubaki kwa wazazi wao, majumbani au kwenye himaya za koo zao, ndugu jamaa na marafiki wakiwa magroup kwa magroup huku wakiendelea na kuharibu mabinti wanao chipukia wenye nia na ndoto za kuolewa na kuishi mume na mke.
Hivyo kama unaye binti au unaye mwanamke ambae hajaolewa nayupo katika umri wa kuolewa huyo ni hatari kwa kizazi cha mabinti wa sasa huyo mfukuze nyumbani acha maramoja kumchekea chekea hakika kwa kufanya hivyo ulimwengu utamchapa na hamu ya kuolewa itamjia na atajifunza mengi sana kuhusu maisha ya upweke kwa kweli.
Mfukuze kabisa nyumbani mwache ulimwengu ukamfunze thamani ya kuwa na mwanaume na kuolewa na ukamshape namna ya yeye kubehave kama mwanamke mbele ya wanaume.
Akajiyegemee,kwani nani hakuwahi kuwa mtoto? Utoto una kikomo Cha utegemezi.Yaani mzazi amfukuze mtoto? Nani sasa atakaye mpokea kama wazazi wamemfukuza, nadhani kumfukuza ndio hatari sana kwa jamii kuliko kubaki nyumbani...
Selective sana dada zakoNyie mnaosema wanawake wanakataa Wanaume Ni uongo mtupu labda mnazungumzia maeneo ya vijijini lakini huku mjini Hakuna waoaji tuache uongo hata sisi tuna dada zetu tunajionea.
Nimezipa namba hizo paragrafu ili tuweze kwenda sawa.1. Ina fuatana na mazingira mfano binti kama hajapata mtu wa kuja kumchumbia hapo ukimfukuza utakuwa kichaa tena kichaa kwelikweli.
2. Ila binti yangu akiwa na tabia ya kuwakataa wanaume wa maana wanao kuja kumchumbia na kumpa thamani ya kuwa mke, badala yake anaenda kuliwa hovyo na mabodaboda na masharobaro mitaani hata mm kwangu hakai ,na ww mzazi ukimdekeza binti mwenye akili za kipumbavu kama huyo utakuwa una pwaya sana.
3. Binti una miaka 23 husomi ,huna kazi inayo kupa kikwazo cha kuolewa, sio mgonjwa, wanaume wa kukuchumbia unawapata na bado hutaki kuolewa ww kama si malaya tukuiteje?
Wanawake wanakataa wanaume mkuu, dada zako wachunguze vizuri sio kwamba hawapati wakuwaoa.. wanakataa na wanachagua sana.. amini nakuambia mkuuNyie mnaosema wanawake wanakataa Wanaume Ni uongo mtupu labda mnazungumzia maeneo ya vijijini lakini huku mjini Hakuna waoaji tuache uongo hata sisi tuna dada zetu tunajionea.
SureWanawake wanakataa wanaume mkuu, dada zako wachunguze vizuri sio kwamba hawapati wakuwaoa.. wanakataa na wanachagua sana.. amini nakuambia mkuu
[emoji1787]C alikuambia ana hisia na mtu mwingine ? Unaonekana ulikuwa unafosi king mkuu
Mkuu usituingize chakaNi kweli mwanamke ana haki ya kukataa wanaume, ila anatakiwa afahamu ni ngumu sana kupata mwanaume anayemtaka yeye in short ana limited option ni tofauti na mwanaume
Hata ukiwauliza wanawake walio wengi ambao wako kwenye ndoa watakuambia waume zao in first place waliku hata hawawapendi kihivyo ila walikuwa hawana jinsi ikabidi wawakubalie
Tuende wapi sasa?Ukiangalia wanyama wanatabia ambazo nazipenda sana mtoto akifikia umri flani anafukuzwa na yeye aende akapambane na maisha yake sio kwamba hawampendi anatakiwa ajitegemee ni lazima sio option
Mtoto anamiaka let say 25, wengine mpaka 40 wanakaa nyumbani comfortable na mzazi anaona ni sawa ndo maana kizazi hiki ni dhaifu sana
hahahahahaMkuu ni kweli...baba mwenye mtoto wa kike hawezi hata kuwaza huu upuuzi. Baba zetu wanavyotupenda[emoji7]
Kwahiyo aolewe na yeyote tu hata kama hafai?Wanawake wanakataa wanaume mkuu, dada zako wachunguze vizuri sio kwamba hawapati wakuwaoa.. wanakataa na wanachagua sana.. amini nakuambia mkuu
"Mtu anaweza kimbilia kuolewa na yeyote,baadaye akaja kujuta".Mkuu usituingize chaka
Ushauri wako unaweza kuwa mzuri kwa namna moja, pia ukawacost watu kwa namna nyingine.
Mtu anaweza kimbilia kuolewa na yeyote,baadaye akaja kujuta.