Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Anzisha mahakama yako iendeshwe kwa hizo hisia zako kama sheria.Ndio maana nikasema Sheria zenu Zina shida. Unapopewa ushahidi tayari unatakiwa wewe kama wakili uhakiki usahihi wa ushahidi huo, sio tena kurudi mule mule, ni kupotezeana muda.
Sisi tuachie hizo sheria zetu ni nzuri sana kubaini matapeli wa kujitungia ushahidi.