Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

😂
We chenga kweli😂😂

Swali la kipumbavu?

Hakimu angesisitiza shahidi ajibu?

Acha kutuchosha na comments kipumbavu bhana
Kwahiyo Wakili hawezi kuwa Mpumbavu na kuuliza swali la kipumbavu ? Mbona unachekesha kijana ?

Inaonekana mmekaririshwa sana, kwa Sheria zenu ndio maana hata Muhalifu huwa anashinda kesi.

Yaani Wakili anauliza maswali ya kipumbavu na unaona sawa, maana yake Wakili hakosei ? Hapa najadiliana na watoto kielimu kumbe.
 
Sina nguvu ya kuendelea kukujibu bhana unanipotezea muda kama hujui jambo unanyamaza unajifunza. Endanga hata huko court mara moja moja ujifunze
Ungekuwa sahihi kama ungekosoa hoja zangu na kuonyesha usahihi wa mambo.

Shukrani kwa hilo.
 
Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.

Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.

Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Hakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.

Kwa mtindo huu ndio maana unaona Wakili yupo sahihi. Hili ni tatizo katika Mfumo wenu wa Sheria. Halafu ajabu unazipigia chapuo Sheria ambazo zimetungwa na wanadamu. Una akili ndogo sana kijana.
Kwenye bolded naona ulikuwa umekatwa kichwa,
 
Mpaka hapo hujui unakosea wapi? Umekaza sheria zetu sheria zetu, nikaomba za kwenu huko matombo zikoje hauleti watu tujifunze. Kwani hujui kwanini sheria zinatungwa unasema sheria zimetungwa na binadamu haya leta ambazo hazijatungwa na binadamu tujifunze wenzio...aaghhrrr wewe ni box
 
Sahihi kabisa, kama yeye Wakili Hana majibu sahihi ana hakiko vipi ushahidi ? Anacheza bahayi nasibu ? Lazima awe na majibu sahihi.

Sasa kama ana majibu sahihi, kwanini anamkosoa Shahidi ?
 
Hakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.

Kwa mtindo huu ndio maana unaona Wakili yupo sahihi. Hili ni tatizo katika Mfumo wenu wa Sheria. Halafu ajabu unazipigia chapuo Sheria ambazo zimetungwa na wanadamu. Una akili ndogo sana kijana.
Eti jamaa badala ya yeye kujiona ana akili ndogo, anataka kulazimisha wenye akili kubwa wawe chini yake. Ven26 jamaa anadai una akili ndogo😂😂

Haya bhana. Labda nikuulize, una elimu gani? Sitauliza daraja ulilopata.
 
Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.

Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.

Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.

Upungufu atauona Hakimu na ndio maana wanaongea mbele ya Hakimu.

Hapo anachofanya Wakilipa kwenye Cross Examination ni kupima ukweli wa ushahidi uliotolewa.
Kama ushahidi ni kweli basj inatarajiwa ndio ziwe nyingi kuliko hapana na sijui.
 
Mpaka hapo hujui unakosea wapi? Umekaza sheria zetu sheria zetu, nikaomba za kwenu huko matombo zikoje hauleti watu tujifunze. Kwani hujui kwanini sheria zinatungwa unasema sheria zimetungwa na binadamu haya leta ambazo hazijatungwa na binadamu tujifunze wenzio...aaghhrrr wewe ni box
Naona unapita mule mule kama Wakili, ulitakiwa uonyeshe wapi nakosea, wewe si ndio unajua ninapo kosea ?

Za kwetu hazina haja ya kuletwa hapa, sababu nilishakupa msingi wa Sheria zetu.

Bado sijaona haja ya kuleta za kwetu. Bado hujakiri ya kuwa zenu Zina mapungufu kwa dhati kabisa. Unadai Mimi box na huna majibu sahihi huu ni Uhayawani.
 
Unajua hujui case zinafanyikaje yaani wewe unawaza kwa hisia ila sio kisheria. Au samahani elimu yako ya sheria umesomea wapi mwenzetu
Kasomea kijiweni
 
Naona unapita mule mule kama Wakili, ulitakiwa uonyeshe wapi nakosea, wewe si ndio unajua ninapo kosea ?

Za kwetu hazina haja ya kuletwa hapa, sababu nilishakupa msingi wa Sheria zetu.

Bado sijaona haja ya kuleta za kwetu. Bado hujakiri ya kuwa zenu Zina mapungufu kwa dhati kabisa. Unadai Mimi box na huna majibu sahihi huu ni Uhayawani.
Wakili wa utetezi atolee shahidi wa mashitaka majibu mahakamani akyanani shingo yako imebeba mzigo wa fuvu bhana tuachane na hayo Bill 😀😀😀😀
 
Eti jamaa badala ya yeye kujiona ana akili ndogo, anataka kulazimisha wenye akili kubwa wawe chini yake. Ven26 jamaa anadai una akili ndogo😂😂

Haya bhana. Labda nikuulize, una elimu gani? Sitauliza daraja ulilopata.
Elimu yangu hapa haina nafasi sababu haibadilishi chochote. Shida yenu hamjibu hoja.

Mimi nina elimu sahihi. Nikuulize wewe unajua nini maana ya Elimu ya elimu ? Hili swali hata huyo Wakili wako hawezi akatoa jibu sahihi.

Huenda ninayo yaandika ni mageni kwenu, sababu kwenu inaonekana Mawakili hawawezi kuwa wapumbavu. Kwanza tu kile kitendo chenu Cha Mawakili kuitwa au kujiita Wasomi, ni ishara ya ya kwanza ya kuwa wao ni WAJINGA.
 
Upungufu atauona Hakimu na ndio maana wanaongea mbele ya Hakimu.

Hapo anachofanya Wakilipa kwenye Cross Examination ni kupima ukweli wa ushahidi uliotolewa.
Kama ushahidi ni kweli basj inatarajiwa ndio ziwe nyingi kuliko hapana na sijui.
Ukweli unapimwaje ? Wakati muulizaji Hana ukweli huo ?
 
Elimu yangu hapa haina nafasi sababu haibadilishi chochote. Shida yenu hamjibu hoja.

Mimi nina elimu sahihi. Nikuulize wewe unajua nini maana ya Elimu ya elimu ? Hili swali hata huyo Wakili wako hawezi akatoa jibu sahihi.

Huenda ninayo yaandika ni mageni kwenu, sababu kwenu inaonekana Mawakili hawawezi kuwa wapumbavu. Kwanza tu kile kitendo chenu Cha Mawakili kuitwa au kujiita Wasomi, ni ishara ya ya kwanza ya kuwa wao ni WAJINGA.
Haya bhana, ukibaki na hicho unachokojua itapendeza zaidi.
 
Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.

Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.

Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Kuwa mwelewa
Ikiwa shahidi kakubali kwamba ushahidi wa kutunga haufai kisha kwenye maelezo yake ikadhihirika alidanganya ni ushahidi tosha kwamba shahidi anakosa vitu alivyovitaja wakili ambavyo ndiyo msingi wa kutoa ushahidi mahakamani.
Huwezi kumchukua mtu
-Asiye muadilifu
-Asiye na hekima
-Asiye na akili njema
Then utegemee ataongea vitu valid kwa umma never.

Huo ndiyo msingi wa maswali ya mawakili na ndiyo maana unapewa kiapo kwamba utasema ukweli tu sasa hakimu anapopitia ili kuhukumu huwa anacheza na vyote hivyo ili atoe hukumu ya haki.
Polisi wetu wanafahamika wanamkamata mtu bila ushahidi wanaanza kuutengenezatengeneza ili mtu atiwe hatiani sasa maswali hayo mafupi huwa yanawaumbua kwamba wametunga mambo ndiyo maana mara nyingi kes zao wanaangukia pua.
 
Back
Top Bottom