Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

Ningekuwa Mimi hapo, ningemjibu tu "Sijui". Sababu inaonekana hata yeye hajui ana muhoji mtu mwenye sifa gani.

Kwanini alazimishe ndiyo au hapana tu. Lazima ajielezee na yeye.
Swali linataka ujibu tu kua ulimwambia hakimu au hukumwambia. Sasa ukisema hujui means wewe mwenyewe hujui kama ulisema Kwa hakimu au hukusema so inazidi kukuonyesha ulivyo kilaza.

Yaani hujui ulichoongea na hujui ambacho hujaongea.
 
Case imezua case, kwanza mi nasema mchuano upo pazuri, tupate muendelrzo, hao wanao toa kasoro walete case zao pia zionekane zinavyo endeshwa kila mtu aone mwenyewe upande gani wanaendesha case vizuri na wapi wana madhaifu
 
Hakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.

Kwa mtindo huu ndio maana unaona Wakili yupo sahihi. Hili ni tatizo katika Mfumo wenu wa Sheria. Halafu ajabu unazipigia chapuo Sheria ambazo zimetungwa na wanadamu. Una akili ndogo sana kijana.
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana,
 
Hakimu aliomba waletwe mashahidi watatu watatu ikiwa mashaidi wenyewe ni kama huyu...
 
Back
Top Bottom