Nlichokiona kiujumla watu wengi wanajifanya wajuaji na wanahisi wanaweza kuenenda kwa fikra zao kwenye kesi ila kumbe hawajui kuna sheria zinasimamia yote hayo.
mkorinto ,
Kisai Rudini mjifunze hata kwa kuwauliza uliza wanasheria watawapa abc juu ya kesi zinavyoendeshwa mahakamani.
Mahakani haujibu kwa mihememko tu kwakuwa unajua kiswahili.
Na kingine mjue tu unapotoa ushahidi maelezo yoyote yanayohitaji exhibit toa hapohapo hakimu anazirecord hakunaga excuse za kusema sijaombwa exhibit mahakamani haijalishi unajua au hujui failing to do so hakimu anaandika hakuna kielelezo chochote kilichotolewa kuthibitisha maelezo ya shahidi inakuwa imetoka hiyo😀