Mkuu nakuona unarukia vitengo vya watu. In case, wewe ulisomea ualimu, basi hizi mambo za sheria achana nazo. Duniani kote kesi mahakamani huendeshwa hivo. Wakili amepewa uhuru wa kutosha anapomuuliza shahidi juu ya uhalisi wa ushahidi alioutoa. Anaweza kukuuliza hadi kama nyumbani kwako wewe na familia yako mnakula kilo ngapi za ugal kwa mlo mmoja! Lengo n kuichanganya akili ya shahidi na kama alikuwa amepanga matukio yake ya huo ushahid wa kubuni lazima atoke kwenye reli. Na hapo sasa ndipo mahakama inaaeza kufahamu kuwa ushahid wa shahidi n valid au invalid. Jifunze kufwatilia case kubwa kubwa ata za nje ya Tanzania, uta-gain something. Very sorry, maana unaoneka umepanic sanaaa. Au we ndo huyo shahidi kwenye case😂😂😂😂(joke)