Anzisha mahakama yako iendeshwe kwa hizo hisia zako kama sheria.Ndio maana nikasema Sheria zenu Zina shida. Unapopewa ushahidi tayari unatakiwa wewe kama wakili uhakiki usahihi wa ushahidi huo, sio tena kurudi mule mule, ni kupotezeana muda.
Ndiyo maana nikamuomba atuletee case hapa tujifunze za kwake zinakuwaje maana Cross examination ni unajibu unachoulizwaHakuna uhuni, labda hujui cross examination, au maswali ya uhakiki ya uliyoyaeleza mahakamani yana mashiko au hakuna. Wakili upande wa mashitaka alitakiwa amuulize tena maswali ya ufafanuzi kama angeona kuna haja ya ufafanuz toka kwa shahidi.
Mahakamani haupeleki stori, unaenda na maelezo yenye ushahidi. Kama pale aliposema jirani aneitwa George Steven, wakati hakuna mtu kama huyo.
Kwahiyo kwenye Cross examination hapo kibatala alitakiwa aulize maswali gani tofauti na ushahidi aliotoa shahidi?Ndio maana nikasema Sheria zenu Zina shida. Unapopewa ushahidi tayari unatakiwa wewe kama wakili uhakiki usahihi wa ushahidi huo, sio tena kurudi mule mule, ni kupotezeana muda.
Hata mie nimeshangaa hapo, LolHuyo shahidi kapaniki tu, lakini ni maswali easy na yanajibika
Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.Unajua kama maswali anayouliza ni yale ameona mapungufu kwenye ushahidi aliowakilisha mahakamani? Maana mengi si umeona anajibu hapana, sijui, sasa kulikuwa na haja gani ya kutoa ushahidi na mengi ni hapana na hajui ndiyo maana hakimu akasema kama mashahidi ndiyo kama hao waletwe watatuπ€£
ππππππUnajua kama maswali anayouliza ni yale ameona mapungufu kwenye ushahidi aliowakilisha mahakamani? Maana mengi si umeona anajibu hapana, sijui, sasa kulikuwa na haja gani ya kutoa ushahidi na mengi ni hapana na hajui ndiyo maana hakimu akasema kama mashahidi ndiyo kama hao waletwe watatuπ€£
Hilo linajulikana, basi Wakili alitakiwa aulize maswali sahihi na sio uhuni anao ufanya yeye, kwa kuuliza maswali ambayo sio sahihi bali yanaonyesha ya kuwa hata huo ushahidi haupo. Kama ushahidi upo hapa kuwa na haja ya wakili kutaka kujua elimu yake sababu Haina uhusiano na jambo husika, bali kuuliza swali la kwamba kile alichokitolea ushahidi kitapima uadilifu wake.Hakuna uhuni, labda hujui cross examination, au maswali ya uhakiki ya uliyoyaeleza mahakamani yana mashiko au hakuna. Wakili upande wa mashitaka alitakiwa amuulize tena maswali ya ufafanuzi kama angeona kuna haja ya ufafanuz toka kwa shahidi.
Mahakamani haupeleki stori, unaenda na maelezo yenye ushahidi. Kama pale aliposema jirani aneitwa George Steven, wakati hakuna mtu kama huyo.
Alitakiwa kuuliza maswali sahihi sio kuuliza maswali ya kupoteza muda na yasiyo kuwa na maana sababu ushahidi ushatolewa.Kwahiyo kwenye Cross examination hapo kibatala alitakiwa aulize maswali gani tofauti na ushahidi aliotoa shahidi?
Haya tukusikilize labda una hoja
ππππ gaaaiii wakili pale hatakiwi kupinga alichosema shahidi my wangu, kupitia ushahidi wake na cross examination ndio ukweli na tungo vinajitenga sasa hakimu anachukua maamuzi. Kwanza unasemea sheria za nchi gani labdaBasi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Chief, kampuni yako ya u advocate inaitwaje tuje? Na unafanya kazi zipi za kisheria, mfano ardhi, familia?Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
ππππ gaaaiii wakili pale hatakiwi kupinga alichosema shahidi my wangu, kupitia ushahidi wake na cross examination ndio ukweli na tungo vinajitenga sasa hakimu anachukua maamuzi kwa kupitia vifungu. Kwanza unasemea sheria za nchi gani labda
Kwanza alisomea law au Hotel management pale amazon collegeChief, kampuni yako ya u advocate inaitwaje tuje? Na unafanya kazi zipi za kisheria, mfano ardhi, familia?
Mzee kama jibu ni sijui au najua utasema hivyo kama ni ndio au hapana utasema hivyo.Huo ndio ujinga, sababu Kuna sijui na sijui sio sawa na hapana.
SHAHIDI: Elimu yangu ni Form Four.
Unajua hujui case zinafanyikaje yaani wewe unawaza kwa hisia ila sio kisheria. Au samahani elimu yako ya sheria umesomea wapi mwenzetuAlitakiwa kuuliza maswali sahihi sio kuuliza maswali ya kupoteza muda na yasiyo kuwa na maana sababu ushahidi ushatolewa.
πBasi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Si unajua kwenye Cross examination hakunaga maelezo ya ziada labda aelekezwe? Kama jibu ni hapana unajibu hapana kama ni ndiyo unajibu ndiyo wakili anaenda swali lingine.Huyo shahidi kapaniki tu, lakini ni maswali easy na yanajibika
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nimecheka kifala eti wakili alitakiwa atoe ufafanuzi wa majibu sahihi. Mi nafikiri naongea na mtu kumbe ni shingo imebeba boxπ
We chenga kweliππ
Swali la kipumbavu?
Hakimu angesisitiza shahidi ajibu?
Acha kutuchosha na comments kipumbavu bhana
Wakili anaonekana anapinga kila anachodema Shahidi na anataka ajibu anavyotaka yeye Wakili, ndio maana Wakili alikiri ya kuwa anauliza vile sababu ana malengo yake.ππππ gaaaiii wakili pale hatakiwi kupinga alichosema shahidi my wangu, kupitia ushahidi wake na cross examination ndio ukweli na tungo vinajitenga sasa hakimu anachukua maamuzi. Kwanza unasemea sheria za nchi gani labda
Hakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nimecheka kifala eti wakili alitakiwa atoe ufafanuzi wa majibu sahihi. Mi nafikiri naongea na mtu kumbe ni shingo imebeba box