Sina nguvu ya kuendelea kukujibu bhana unanipotezea muda kama hujui jambo unanyamaza unajifunza. Endanga hata huko court mara moja moja ujifunzeWakili anaonekana anapinga kila anachodema Shahidi na anataka ajibu anavyotaka yeye Wakili, ndio maana Wakili alikiri ya kuwa anauliza vile sababu ana malengo yake.
Kwahiyo Wakili hawezi kuwa Mpumbavu na kuuliza swali la kipumbavu ? Mbona unachekesha kijana ?π
We chenga kweliππ
Swali la kipumbavu?
Hakimu angesisitiza shahidi ajibu?
Acha kutuchosha na comments kipumbavu bhana
Ungekuwa sahihi kama ungekosoa hoja zangu na kuonyesha usahihi wa mambo.Sina nguvu ya kuendelea kukujibu bhana unanipotezea muda kama hujui jambo unanyamaza unajifunza. Endanga hata huko court mara moja moja ujifunze
Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Kwenye bolded naona ulikuwa umekatwa kichwa,Hakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.
Kwa mtindo huu ndio maana unaona Wakili yupo sahihi. Hili ni tatizo katika Mfumo wenu wa Sheria. Halafu ajabu unazipigia chapuo Sheria ambazo zimetungwa na wanadamu. Una akili ndogo sana kijana.
Mpaka hapo hujui unakosea wapi? Umekaza sheria zetu sheria zetu, nikaomba za kwenu huko matombo zikoje hauleti watu tujifunze. Kwani hujui kwanini sheria zinatungwa unasema sheria zimetungwa na binadamu haya leta ambazo hazijatungwa na binadamu tujifunze wenzio...aaghhrrr wewe ni boxUngekuwa sahihi kama ungekosoa hoja zangu na kuonyesha usahihi wa mambo.
Shukrani kwa hilo.
NIPolice Aliyeimba Nje Ya ToneHuyo shahidi kapaniki tu, lakini ni maswali easy na yanajibika
Sahihi kabisa, kama yeye Wakili Hana majibu sahihi ana hakiko vipi ushahidi ? Anacheza bahayi nasibu ? Lazima awe na majibu sahihi.Kwenye bolded naona ulikuwa umekatwa kichwa,
Eti jamaa badala ya yeye kujiona ana akili ndogo, anataka kulazimisha wenye akili kubwa wawe chini yake. Ven26 jamaa anadai una akili ndogoππHakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.
Kwa mtindo huu ndio maana unaona Wakili yupo sahihi. Hili ni tatizo katika Mfumo wenu wa Sheria. Halafu ajabu unazipigia chapuo Sheria ambazo zimetungwa na wanadamu. Una akili ndogo sana kijana.
Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Naona unapita mule mule kama Wakili, ulitakiwa uonyeshe wapi nakosea, wewe si ndio unajua ninapo kosea ?Mpaka hapo hujui unakosea wapi? Umekaza sheria zetu sheria zetu, nikaomba za kwenu huko matombo zikoje hauleti watu tujifunze. Kwani hujui kwanini sheria zinatungwa unasema sheria zimetungwa na binadamu haya leta ambazo hazijatungwa na binadamu tujifunze wenzio...aaghhrrr wewe ni box
Kasomea kijiweniUnajua hujui case zinafanyikaje yaani wewe unawaza kwa hisia ila sio kisheria. Au samahani elimu yako ya sheria umesomea wapi mwenzetu
π€£π€£π€£π€£π€£ huyo alisoma food n beverageEti jamaa badala ya yeye kujiona ana akili ndogo, anataka kulazimisha wenye akili kubwa wawe chini yake. Ven26 jamaa anadai una akili ndogoππ
Haya bhana. Labda nikuulize, una elimu gani? Sitauliza daraja ulilopata.
Nakataa, huko napo kuna Law ya cockery.π€£π€£π€£π€£π€£ huyo alisoma food n beverage
Wakili wa utetezi atolee shahidi wa mashitaka majibu mahakamani akyanani shingo yako imebeba mzigo wa fuvu bhana tuachane na hayo Bill ππππNaona unapita mule mule kama Wakili, ulitakiwa uonyeshe wapi nakosea, wewe si ndio unajua ninapo kosea ?
Za kwetu hazina haja ya kuletwa hapa, sababu nilishakupa msingi wa Sheria zetu.
Bado sijaona haja ya kuleta za kwetu. Bado hujakiri ya kuwa zenu Zina mapungufu kwa dhati kabisa. Unadai Mimi box na huna majibu sahihi huu ni Uhayawani.
Elimu yangu hapa haina nafasi sababu haibadilishi chochote. Shida yenu hamjibu hoja.Eti jamaa badala ya yeye kujiona ana akili ndogo, anataka kulazimisha wenye akili kubwa wawe chini yake. Ven26 jamaa anadai una akili ndogoππ
Haya bhana. Labda nikuulize, una elimu gani? Sitauliza daraja ulilopata.
πππ afu anatia mkwara eti "sheria zenu" anataka kutuambia yeye ni mmatumbi wa Canada πππNakataa, huko napo kuna Law ya cockery.
Ni zero brain kabisa huyu. Ni kijiweni
Ukweli unapimwaje ? Wakati muulizaji Hana ukweli huo ?Upungufu atauona Hakimu na ndio maana wanaongea mbele ya Hakimu.
Hapo anachofanya Wakilipa kwenye Cross Examination ni kupima ukweli wa ushahidi uliotolewa.
Kama ushahidi ni kweli basj inatarajiwa ndio ziwe nyingi kuliko hapana na sijui.
Haya bhana, ukibaki na hicho unachokojua itapendeza zaidi.Elimu yangu hapa haina nafasi sababu haibadilishi chochote. Shida yenu hamjibu hoja.
Mimi nina elimu sahihi. Nikuulize wewe unajua nini maana ya Elimu ya elimu ? Hili swali hata huyo Wakili wako hawezi akatoa jibu sahihi.
Huenda ninayo yaandika ni mageni kwenu, sababu kwenu inaonekana Mawakili hawawezi kuwa wapumbavu. Kwanza tu kile kitendo chenu Cha Mawakili kuitwa au kujiita Wasomi, ni ishara ya ya kwanza ya kuwa wao ni WAJINGA.
Kuwa mwelewaBasi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.