Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

Hujui kama unapotoa ushahidi unatoa exhibit zinarekodiwa?
Hii inaondoaje hoja kwamba,shahidi halazimishwi kujibu majibu anayoyapenda wakili na hakimu??
Na unajua majibu hayo yanajibiwa kwa mujibu wa sheria,
sheria inamtaka shahidi ajibu maswali ya kuthibitisha ushahidi,sio anayoyapenda wakili.
wewe tena unasema hakuna sheriaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Yaan kwenye maneno kwamba ni dereva hakimu amenote kuwa ni porojo maana shahidi
hii kesi sio ya shahidi polisi,ni ya serikali kama ataandika hivyo kwa swala hilo polisi huyu atafungwa au atafukuzwa kazi??
ameshindwa kutoa exhibit au kesi hujawahi sikiliza ukajua zinaendaje?
bado utashindwa kueleza ameshindwaje kutoa exibit,ambayo haikuombwa na mahakama??hilo ni la kwake au la mahakama??
Enda fuatilia uone kesi zinavojibiwa kisheria na ndiyo maana hakimu alikuwa anamtaka shahidi kujibu kama anavoulizwa jibu ndiyo au hapana
Sio kila swali ni la ndio au hapana,swali kama una elimu gani,alitakiwa ajibu ndio,hapana au sijui???
.......na kwenye kufail kutoa exhibit pale panapotakiwa mahakamani huwezi kusema hukuulizwa yaani tayari ushashindwa na hapo sio kama unamjibu wakili unakuwa unatoa majibu kwa mahakama kwa vifungu vya sheria na
 
Hili taifa linapelekwa shimoni na hawa mbogamboga, Kuna siku watu watasema hapana tumechoka na huu ushetani
 
Basi kaa kimya kumbe hujui kesi zinaendaje, enda uliza kama hakimu atakuomba leta ushahidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa faida yako tu unapotoa ushahidi mahakamani iwe unamshitaki mtu au unamtolea mtu ushahidi yaan pale unapotoa maelezo yako kama una kielelezo juu ya maelezo yako kuthibitisha unatoa hapo hapo, na maswali ya kuthibitisha ushahidi ndiyo hayo aliyomtwanga kibatala majibu yakawa ni hapana weee hadi hakimu akachoka.
Kwahiyo kesi ikiwa ya serikali na upande wa mashitaka haujatoa ushahidi wa kutosha ulitaka asiulizwe masawali au hakimu asiandike kile shahidi amesema? Vyote vinaandikwa na mapungufu yote yanaandikwa.
Kwenye kujibu wakili hakumwambia jibu ndiyo au hapana tu, umeona maswali yametofautiana suala la elimu ilikuwa ni kumjibu simple tu. Kitu nimeona watu wengi suala la ufahamu kuhusu kesi zinaendaje hatujui kituui uurrrurururuuu napiga nduru watu wakuje wakusaidie
 
Naomba kuuliza…

Huwa inaruhusiwa kuingia mahakamani kusikikiza tu kesi?
Si ndugu,jamaa au rafiki bse ina public interest
 
Nimeandika nukuu yangu ya kwanza kwako.
Ninguliza elimu ipi unaulizia??
Unaulizaje swali sasa na wakati amekuuliza tu level ya elimu kama ni degree utasema nina degree, km masters degree utaitaja kama ni form four utasema form four full stop.
 
Naomba kuuliza…

Huwa inaruhusiwa kuingia mahakamani kusikikiza tu kesi?
Si ndugu,jamaa au rafiki bse ina public interest
Wanaingia wengi tu kusikiliza cha muhimu usikivu wako na kuna vingi utajifunza
 
Huwa napenda sana vitu kama hivi sijui kwanini .

Nakumbuka kwenye kesi ya mbowe nilikuwa nafurahi sana aise yani polisi walivyokuwa wanqdharirishwa hadi wanabanwa na haja ndogo na kubwa.

Ombi langu wadau mimi shuka chini naomba kesi ya LISSU ikianza apatikane mtu atuletee moja kwa moja maelezo ya kesi kutoka mahakamani itapendeza sana .


Peter kibatala kwa upande wako nakukubali sana polisi nadhani wakikuona huwa wanakasirika sana maana unajua kuwavua nguo hadharani.


"Eti sitakuuliza ulipata division gani mwisho ushindwe kutoa ushahidi."🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Basi kaa kimya kumbe hujui kesi zinaendaje,
mbona mipasho??nikae kimya tena!!!au ndio ushaathirika na mentality ya wakili msomiπŸ˜‚
unaelewa kwanini shahidi alijibu sikuombwa??au unatiririka tu kwa sababu umeshiba🀣🀣.
maana yake kama anataka reseni anayo hapo anaweza itoa.
na maswali ya kuthibitisha ushahidi ndiyo hayo aliyomtwanga kibatala majibu yakawa ni hapana weee hadi hakimu akachoka.
hapo lazima hakimu achoke sababu alimtaka shahidi ajibu kama alivyoulizwa,mpaka akiulizwa umri wake kazini ajibu sijui,ndio au hapanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kwahiyo kesi ikiwa ya serikali na upande wa mashitaka haujatoa ushahidi wa kutosha ulitaka asiulizwe masawali au hakimu asiandike kile shahidi amesema?
sasa kwani alishindwa nini kuandika alichosema shahidi au aliona ni kirefu atamuacha??
Vyote vinaandikwa na mapungufu yote yanaandikwa.
ndio alitakiwa aaandike anachojibu shahidi.
Kwenye kujibu wakili hakumwambia jibu ndiyo au hapana tu,
si ni jibu kama alivyoukizwa??embu waambie kumbi kumbi wengine hapa,shahidi anajibu swali hata kamaanahitaji lifafanuliwe kwanza??
umeona maswali yametofautiana suala la elimu ilikuwa ni kumjibu simple tu
hakuna jibu simple mahakamani,wewe ni mgeni wa kesi,jibu kichwa kichwa uone dkk 3 mbele nini kinafata.
. Kitu nimeona watu wengi suala la ufahamu kuhusu kesi zinaendaje hatujui kituui uurrrurururuuu napiga nduru watu wakuje wakusaidie
Ndio tunamsoma kibatala na shahidi hapa,tujue mengi.
 
Nlichokiona kiujumla watu wengi wanajifanya wajuaji na wanahisi wanaweza kuenenda kwa fikra zao kwenye kesi ila kumbe hawajui kuna sheria zinasimamia yote hayo.
mkorinto , Kisai Rudini mjifunze hata kwa kuwauliza uliza wanasheria watawapa abc juu ya kesi zinavyoendeshwa mahakamani.
Mahakani haujibu kwa mihememko tu kwakuwa unajua kiswahili.
Na kingine mjue tu unapotoa ushahidi maelezo yoyote yanayohitaji exhibit toa hapohapo hakimu anazirecord hakunaga excuse za kusema sijaombwa exhibit mahakamani haijalishi unajua au hujui failing to do so hakimu anaandika hakuna kielelezo chochote kilichotolewa kuthibitisha maelezo ya shahidi inakuwa imetoka hiyoπŸ˜€
 
Unaulizaje swali sasa na wakati amekuuliza tu level ya elimu kama ni degree utasema nina degree, km masters degree utaitaja kama ni form four utasema form four full stop.
hapa unataka jibu uliloliandaa ama ulilolitarajia.

Elimu ziko nyingi,na mahakamani tobo dogo tu linaweza geuza mwelekeo mzima wa mwenendo wa mashtaka,mbeleni akija kudai ana elimu ya juu ya uchawi utakataa jibu???
 
Wakili sio Mungu,nayeye ni mtu,anaweza kosolewa vile vile.
Labda hujapenda tumkosoe kwamba anauliza mswali ya kipuuzi.
 
Yaani hujui kitu, kwenye Cross examination husemi sikuombwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sio kazi ya hakimu kukwambia toa exhibit unapotoa maelezo toa, hakunaga kesi imeendeshwa kwenye Cross examination ukasema sikuombwa ila hii hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani wewe unahisi njia zako mwenyewe za kuendesha kesi. Sio kwa kibatala tu jifunze kuingia mahakama zozote hata za mwanzo palipo na kesi zinazosimamiwa na mawakili ndiyo utaelewa hapa unahisi ni majibu ya mwalimu na mwanafunzi.
Kwenye simplicity ya swali la elimu nlimaanisha angemwambia level ya elimu tu ikaishia hapo.
Hujui kitu bwana enda sikiliza kesi mbili tatu mahakama yoyote achana na ya kibatala maana unahisi kibatala anajiendesha kwa vile ni wakili maarufu.
Napoteza muda na akati hujawahi kusimama hata mahakama ya mwanzo unahisi kesi zinaendeshwa kwa ujuaji wa kujua kiswahili
 
@mkorinto ENDA MAHAKAMA YOYOTE HATA ZIWE TOFAUTI TOFAUTI FUATILIA KESI MBILI AU ZAIDI YA HAPO AFU URUDI HAPA.
MAANA UNAHISI MAHAKAMANI UNAJIBU KWA MIHEMKO NA SI SHERIA INAKUELEKEZA, KUBALI TU NI VINGI HUJUI DEAR TUJIFUNZE KWA PAMOJA.
WEWE UNAONEKANA HAKUNA KESI UMEWAHI SIKILIZA HATA MOJA.
 
Yaani hujui kitu, kwenye Cross examination husemi sikuombwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Embu nipe majibu ya moja kwa moja ya cross examination wewe mjuaji.
sio kazi ya hakimu kukwambia toa exhibit unapotoa maelezo toa,
Wapi nimeandika haya???nimesema hakimu alipaswa kuandika shahidi alichojibu.
hakunaga kesi imeendeshwa kwenye Cross examination ukasema sikuombwa ila hii hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani wewe unahisi njia zako mwenyewe za kuendesha kesi.
Ndio maana nikaomba majibu yanayotakiwa hatua hii inaonekana majibu ni matatu tu na wengine ambao hatuhidhurii mahakamani hatuyajui.
Sio kwa kibatala tu jifunze kuingia mahakama zozote hata za mwanzo palipo na kesi zinazosimamiwa na mawakili ndiyo utaelewa hapa unahisi ni majibu ya mwalimu na mwanafunzi.
wewe ndio unaona haya ni maswali ya mwalimu na mwanamfunzi wake,ndio maana unaotea majibu.
Nakukumbusha kwamba hayo ni maswali ya wakili upande wa utetezi na shahidi upande wa mashtaka,hakuna kucheka na kima hapo.
Kwenye simplicity ya swali la elimu nlimaanisha angemwambia level ya elimu tu ikaishia hapo.
Unakariri,hiyo sio mahakama itakuwa ni majibu ya table 1-12.
Hujui kitu bwana enda sikiliza kesi mbili tatu mahakama yoyote achana na ya kibatala maana unahisi kibatala anajiendesha kwa vile ni wakili maarufu.
Neno hujui kitu unalirudia kila nukuu yakoπŸ˜‚πŸ˜‚,sijui wapi nimesema najua,mbona inaonekana una matatizo mengi sana??
Napoteza muda na akati hujawahi kusimama hata mahakama ya mwanzo unahisi kesi zinaendeshwa kwa ujuaji wa kujua kiswahili
Wewe huyu umeshasimamia mahakama ya mwanzoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Eh,kazi ipo.
 
Huyo shahidi kapaniki tu, lakini ni maswali easy na yanajibika
Huyo shahidi, inaonyesha alishasikia sifa za Kibatala, hivyo alijiandaa kupambana naye! Bila kujua huko Mahakamani, kuna utaratibu unaofuatwa, na sio mambo ya kihuni kihuni, au ujuaji wa mitaani, unajijibia tu unavyotaka, au haulazimishwi kujibu swali ambalo hautaki kulijibu!
 
Alooo kam askari polis aliend coz yuko hv sasa c raia tutawez jibu maswali ki wakil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…