Swali linataka ujibu tu kua ulimwambia hakimu au hukumwambia. Sasa ukisema hujui means wewe mwenyewe hujui kama ulisema Kwa hakimu au hukusema so inazidi kukuonyesha ulivyo kilaza.Ningekuwa Mimi hapo, ningemjibu tu "Sijui". Sababu inaonekana hata yeye hajui ana muhoji mtu mwenye sifa gani.
Kwanini alazimishe ndiyo au hapana tu. Lazima ajielezee na yeye.
Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana,Hakuna sehemu niliayo andika Wakili atoe ufafanuzi. Nimeandila aulize maswali sahihi.
Kwa mtindo huu ndio maana unaona Wakili yupo sahihi. Hili ni tatizo katika Mfumo wenu wa Sheria. Halafu ajabu unazipigia chapuo Sheria ambazo zimetungwa na wanadamu. Una akili ndogo sana kijana.
Shukrani.Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana,