wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
- Thread starter
- #21
Nashangaa nimetumia lugha nyepesi ila baadhi ya watu bado hawaelewi, tuna safari ndefu sanaWabongo wagumu sana kuelewa aisee, mmeambiwa kwenye faida ya laki Moja na sio mauzo