secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Maisha ya show off hatuyataki kabisa sisi.The same to me. Mimi 3-10 Mimi hata mtaani sikuaga najulikana sababu ya upole na ukimya vice versa kwa mdogo wangu tulie achiana ziwa..
School pia o-level sikua najulikana Ila kwenye MATOKEO ya mitiani ndipo watu huanza kunizingatia na kuanzisha urafiki na Mimi.
Huwaga na uwezo wa KUISHI KAMA SIPO/ UNAISHI KAMA HAUPO
Ni kweli kabisa mkuu either zile kampuni za kupewa tenda alafu kiongozi mfano waziri, mkurugenzi ana 10% yake at least Hawa hu push malipo ya we mapema ili wapate chao..Ukifanya biashara na serikali,kufilisika nje nje
Mjiti ndio Nini??Mtaji 200,000
1 pc of mjiti = 500
200,000 una pcs zako 400
Mauzo kwa pc 1 = 3000
3000 X 400
1,200,000
Kazi kutuwekea tu biashara za matikitiπ
Watoe michongo isiyooza.
Bado, ila ya kiafya na kitabia niko vizuri. Sasa nipo kwenye vita ya kiuchumi, lakini kwa kipimo cha hiyo 3m kwa mwezi kama aliyosema mleta mada, huko nimevuka, (japo inawezekana kuna anayepata 500k kwa mwezi akawa amenizidi kila kitu mimi ninayepata zaidi ya 3m). ndo maana nikampa hizo njia. Na si lazima zi apply kwa kila mtu. Kila mmoja na fate yake.Kwa njia hizi wewe zimekuletea mafanikio makubwa ya kiuchumi.
π€Mjiti ndio Nini??
Simshaur sababu izo biashara Zina chain zakee Sasa Pyaar anataka kumsababishia/ sababisha vijana wenye tamaa waingie king then una ingia hatia na jamuhuri unafungwa 30years jeraaa
Ushawai kumoka?π€
Kumbe una akili nyingi ndiyo maana ukawa rafiki yangu .Una akili Sana unaweza quadratic equation ukiwa darasa la sabaa.
Kuna kipindi o-level Mimi nilikua nasoma hesabuu kama nasoma history inashangaza Mimi hesabu kama MATRICS nilijifundisha mwenyewe.
Sijawahi mkuu.Ushawai kumoka?
Upo sahihi kabisa mkuu, hizo biashara zenye risk ndo zinazowatoa watu mapema. Na huwa haziwekwi wazi kabisa. Utazungushwa ooh! Nilianza na mgahawa, ikawa hivi ikawa vile.Simshaur sababu izo biashara Zina chain zakee Sasa Pyaar anataka kumsababishia/ sababisha vijana wenye tamaa waingie king then una ingia hatia na jamuhuri unafungwa 30years jeraaa
NB. Ukiwa na laki 500,000 Kuna mashine za diesel/ petrol unatafuta bonde hapa dar es salaam study zangu maeneo ya temeke anza kufanya kilimo Cha mboga mboga then unaanza kuuza kwa wholesale mfano mchicha, bamia, spinach, chenese,nyanya chungu, hoho, na mboga mbali mbali unajipatia kipato
Min_me yupo kimya Sana simuoni nime mtag Sana Leo na jama
Kiswahili kama LUGHA huwaga ni kigumu Sana.Kumbe una akili nyingi ndiyo maana ukawa rafiki yangu .
Imagine nilipata F kiswahili form two ila mengine vibanda tu
Haaahaa π π€£ kumbe sawa usivute sawaaSijawahi mkuu.
Nilichemka kaka mara vivumishi vikamilifu ikawa ngumu kwangu nikala mswaki .Kiswahili kama LUGHA huwaga ni kigumu Sana.
Unajua kiswahili hata kukikaririi ni kigumu
Mfano unaulizwa
MOFIMU NI NINI?? π Unakumbuka mkuu..
Evelyn Salt bring back min -meKuna dada mmoja nimeona wameweka ukaribu sana siku mbili hizi sijui kama hajamficha ndiyo maana hatujibu wenziye .
Wewe Evelyn Salt yupo wapi min -me