Kweli kabisa.Si mbaya maana weekend ndio hii, japo sisi tusio penda vurugu tume tulia ndani.
Naam ila sio vibaya, maana kila mmoja na mtazamo wake.Kweli kabisa.
Kutulia ndani ni vyema kuliko kupuyanga usiku usiku.
Sahihi ksbisa.Naam ila sio vibaya, maana kila mmoja na mtazamo wake.
Leo nimekatiza kona moja hivi ghafla bin vuuu nakutana na watu wa kazi wanakula ndumu, nikasema fursa si ndo hiiππβ¦..Nikaikumbuka hii comment yakoπMstari ni mwembamba mno, sasa we jichanganye waka kunyoe kipara na tumacho twakoπ
nisha kwambia kitu pekee una paswa kuvishwa ni Pete, uki jichanganya uvishwe pingu mi simo ππLeo nimekatiza kona moja hivi ghafla bin vuuu nakutana na watu wa kazi wanakula ndumu, nikasema fursa si ndo hiiππβ¦..Nikaikumbuka hii comment yakoπ
πππnisha kwambia kitu pekee una paswa kuvishwa ni Pete, uki jichanganya uvishwe pingu mi simo ππ
Sio huo tu, hata wa sigara sija wahi kujaribu.πππ
Mkuu, hata moshi wake tu unanikimbiza balaa, naogopa.
πππSio huo tu, hata wa sigara sija wahi kujaribu.
we tengeneza juice tu π.
Sema juice zina kufanya uwe π₯π₯ππ π
Ni lini umeniona?Sema juice zina kufanya uwe π₯π₯
I'm just portraying an image in my mind.Ni lini umeniona?
Hahaha!I'm just portraying an image in my mind.
Siwezi kufanya biashara ya kurisk usalama na maisha yangu.
Upo sahihi kabisa mkuu, risk takers ndio wanaopeta.Kama uwo ndo mtazamo basi utaendelea kuishi maisha hayo hayo usiyopenda
Nijaribu ku guess πHahaha!
Mchuchu jojo ya mara Moja, isi kufanye usahau uzuri wa viazi πUpo sahihi kabisa mkuu, risk takers ndio wanaopeta.
Kwa mawazo yako haya inabidi huyu Intelligent businessman akae pembeni asinitie uoga tena.
Leta mchongo.π
Mchuchu jojo ya mara Moja, isi kufanye usahau uzuri wa viazi π
πππMchuchu jojo ya mara Moja, isi kufanye usahau uzuri wa viazi π
πNijaribu ku guess π
haya nakuja na majibu ππ₯π
Karibu