Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

Hahaha aaaaaaaah
 
Jitahidi sana kupata mwanamke mnayeshabihiana kwa vitu vingi.Ufanisi wa ndoa uko katika kushabihiana katika mawazo zaidi kuliko usahihi. Ndoa hufanikiwa endapo mtajenga bond na haipatikani kirahisi kama mawazo yenu hayaendani

Epuka sana influence ya familia zenu katika maisha yenu ya ndoa. Jitahidini sana kuutambua mpaka wa wazazi,ndugu,jamaa na marafiki.Narudia,Chunga sana!
 
Msela wangu Ndoa kwa Mwanaume Ni sawa na Kuota ndoto ya kwenda Haja Chooni.. yaan ukijichanganya tu unadodesha.. we kausha tu!! Fanya Mambo ya Maana achana Na pigo za kirembo hizo!! Narudia Tena Usioe..

Alisikika Mtoto wa Nje ya Ndoa..
 
Hahahah, USIOE!
 
USIOE, point kubwa sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…