ni marufuku mwanaume kulala ukutani, na vile vile usikose panga ndani maana wezi hawatabiriki
Mwanaume siku zote anajivunia kuwa mlinzi wa mkewe hasa kwa mambo ya hatari.Hivi ni kwa nini hamtaki kullala ukutani
Kuna muda najifanya nimechoka siwezi kuvuka
Utasikia pita sehemu yako ukijifanya kusinzia unasogezwa kama mzigo!
Specific reason ya kulala mwanzo wa kitanda ni ipi?
Sipend basi tu[emoji57][emoji17]
Mwanaume siku zote anajivunia kuwa mlinzi wa mkewe hasa kwa mambo ya hatari.
Sasa tangu lini mlinzi anajificha ukutani.
Duh kwahiyo vijana wajiunge chaputaUsioe,au oa ukishindwa usivunge kuacha
Waoe na kuachaDuh kwahiyo vijana wajiunge chaputa
Ameshaghairi haoi tena [emoji3]Mama mpe ushauri
Mi hata sijuiKwa dunia hii ya sasa ilivyo kuna haja ya kuoa kweli?
#YNWA
USHAURI WANGUWakuu habari.
Moja kwa Moja kwenye mada.
Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?
Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au kuchelewa n.k.
Ata ushahuri mdogo unaweza kua na msaada kwangu au kijana mwingine mwenye malengo kama yangu.
Natanguliza shukrani.
Ndo Jamaa amekuja kutafuta za kuchanganyia.Akili za kuambiwa unachanganya na zako.
Dada zako waliolewa wakiwa mabikira au mama yako??? na je una hakika kwa jibu unalotarajia kunijibu???...pia kwa yeyote yule aloandika pia must bikira ajiulize na aje ajibu hilo hapa...Ushauri ni ule ule hatupepesi, usioe mwanamke asiye bikra.
KumbeeeAmeshaghairi haoi tena [emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Inatakiwa mke umpite kuanzia miaka 10
Zipo mkuuHizo bikra ni za namna gani mkuu? Maana hapa labda tuowe watoto wa chekechea
Hawa wapo kaka shida kama utatafuta mke ukiwa umemchora kichwani kwamba awe figure namba nane guu guu tako tako hutakaa umpate.Hizo bikra ni za namna gani mkuu? Maana hapa labda tuowe watoto wa chekechea
dada zako waliolewa wakiwa mabikira au mama yako??? na je una hakika kwa jibu unalotarajia kunijibu???...pia kwa yeyote yule aloandika pia must bikira ajiulize na aje ajibu hilo hapa...
ULINZI(PHYSICAL,EMOTIONAL)Hivi ni kwa nini hamtaki kullala ukutani
Kuna muda najifanya nimechoka siwezi kuvuka
Utasikia pita sehemu yako ukijifanya kusinzia unasogezwa kama mzigo!
Specific reason ya kulala mwanzo wa kitanda ni ipi?
Sipend basi tu[emoji57][emoji17]
Oa mwanamke mzuri nje (muonekano wa nje awe wa 🔥🔥), na character yake iwe ya (mama yaani hulka za kimama) hutojutiaWakuu habari.