Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Duuu nakubali mwanangu
Story tamu,hustle na harakati kibao hii inatia motisha sana,
Maana watu mna uthubutu sana!
Ila kwa jinsi Congo DRC ilivyo wale watu wangejitambua wangekua wanaishi kwenye paradiso moja matata
Imagine Marekani ingekua Tropical rainforest country include natural resources kama Kongo DRC! loh maskini ila ndio hivyo ni half hell,
akili za Mwafrika ni nyani aliyechangamka! Nelson Jacob Kagame
 
E bwana ebwana eeee!! Huyu mwamba umekutana nae live?? Mzee kama ni kweli basi wewe sio mtu wa kawaida ..
 
E bwana ebwana eeee!! Huyu mwamba umekutana nae live?? Mzee kama ni kweli basi wewe sio mtu wa kawaida ..
Nilikua dogo janja nimetokea zangu na mabraza nimewasindikiza kusaka nyoka i mean kusaka dhahabu Kongo.......na kipindi hicho james ana 30 something hv.....kule Nyangwe kivu kusini 2001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…