Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Duuu nakubali mwanangu
Story tamu,hustle na harakati kibao hii inatia motisha sana,
Maana watu mna uthubutu sana!
Ila kwa jinsi Congo DRC ilivyo wale watu wangejitambua wangekua wanaishi kwenye paradiso moja matata
Imagine Marekani ingekua Tropical rainforest country include natural resources kama Kongo DRC! loh maskini ila ndio hivyo ni half hell,
akili za Mwafrika ni nyani aliyechangamka! Nelson Jacob Kagame
 
Mkuu hiyo 2001 .......mtu mrefu wa RPF anaitwa James akataka kunipa bunduki.....niongozane nae.....tulikutana mahala......nikamuambia ""AM NOT TUTSI AM TANZANIAN STUDENT"""
Akaniuliza why are you here????
Nakamjibu"""TO FIND MONEY THROUGH BUSINESS"""Akanipiga pialga begani.......nice kid.....nice kid......you tanzanian are clever one.
But be care masasi haina macho"""
Braza tall fut 7 na nusu hivi kwenda juu afu mabodigadi kibao kama 50 hv..!!
NITASIMULIA HUKO MBELEView attachment 2929467
E bwana ebwana eeee!! Huyu mwamba umekutana nae live?? Mzee kama ni kweli basi wewe sio mtu wa kawaida ..
 
E bwana ebwana eeee!! Huyu mwamba umekutana nae live?? Mzee kama ni kweli basi wewe sio mtu wa kawaida ..
Nilikua dogo janja nimetokea zangu na mabraza nimewasindikiza kusaka nyoka i mean kusaka dhahabu Kongo.......na kipindi hicho james ana 30 something hv.....kule Nyangwe kivu kusini 2001
 
Back
Top Bottom