Mabraza wa Kariakoo na dili zao

WADAU WANAOMBA NIWASAIDIE CONNECTION MIMI SINA HIYANA WALA NYONGO.......ILA MAMBO SIO RAHISI KAMA YANAVYOSIMULIWA HUMU.....KAMA HAUNA UJASIRI NA UTHUBUTU USITAMANI KUINGIA HUKU HIVI VITU NI HATARI HATARI HATARI HATARI MNO KULIKO MAELEZO YA MWANDISHI MNGEJUA MSINGEOMBA CONNECTION SABABU NI HATARI MNO.
NB: Kwa wale wanaoniomba conection za waganga wa kienyeji na wachawi wa nyungu ili..wapate utajiri.....kusema kweli nawaonea huruma sababu risk zake ni kubwa kuliko utajiri wenyewe....jifikirieni mara mbili mbili msiingie sehemu mbaya na za hatari kwa tamaa za mda mfupi wadogo zangu.
 
Mkuu hizo connection za roho mkononi hapana
 
Kongo m 23
Aisee, haya maisha si mchezo kabisa, wakati fulani huyu Bosco na wenzake walikuwepo hapa Tanzania na waliishi hotel fukani siitaji jina, wakati huo waliomba serikali ya Tanzania kufanya upatanisho kati ya kundi lao na serikali yao.

Hawa jamaa nilipata nafasi kufahamiana nao kutokana na shuguli zangu wakati huo na nilipata nafasi hadi kuongea na kubadirishana mawazo.

Although siku wanaondoka baada ya upatanisho wakiwa kwao ndipo nilishtuka kuwa na ukaribu na wale jamaa do, I've story fulani nasema na nafsi yangu natulia hadi leo 😁!.
 
Bosco......na Laurent Nkunda.....ni majangili tu wanawatesa wakongo kwa sababu ya utajiri wa madini....ila nkunda yeye katulia now.....yupo home arrest Kigali.
 
Aisee yaani story ya masasi watu wanapigana uchi wanakata mauno mtu anaomba connection?!🙄
 
Ah...wapi wewe nipe connection tu...haya maelekezo hayanitishi...they say huwezi kupata mafanikio bila ku take risk
 
Hongera kwa andiko zuri ila unazidisha kujisifia shida na uloyapitia. Keep it cool mana hii simulizi ni motivation tosha na yaliyoko mtaani hakuna asoyaona.

Barikiwa katika upambanaji wako.
 
Napambana - Zuchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…