Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #401
Kongo m 23Huyu Bosco alikuwa Burundi au Rwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongo m 23Huyu Bosco alikuwa Burundi au Rwanda?
Mkuu hizo connection za roho mkononi hapanaWADAU WANAOMBA NIWASAIDIE CONNECTION MIMI SINA HIYANA WALA NYONGO.......ILA MAMBO SIO RAHISI KAMA YANAVYOSIMULIWA HUMU.....KAMA HAUNA UJASIRI NA UTHUBUTU USITAMANI KUINGIA HUKU HIVI VITU NI HATARI HATARI HATARI HATARI MNO KULIKO MAELEZO YA MWANDISHI MNGEJUA MSINGEOMBA CONNECTION SABABU NI HATARI MNO.
NB: Kwa wale wanaoniomba conection za waganga wa kienyeji na wachawi wa nyungu ili..wapate utajiri.....kusema kweli nawaonea huruma sababu risk zake ni kubwa kuliko utajiri wenyewe....jifikirieni mara mbili mbili msiingie sehemu mbaya na za hatari kwa tamaa za mda mfupi wadogo zangu.
🤣🤣🤣🤣Mkuu hizo connection za roho mkononi hapana
Aisee, haya maisha si mchezo kabisa, wakati fulani huyu Bosco na wenzake walikuwepo hapa Tanzania na waliishi hotel fukani siitaji jina, wakati huo waliomba serikali ya Tanzania kufanya upatanisho kati ya kundi lao na serikali yao.Kongo m 23
Bosco......na Laurent Nkunda.....ni majangili tu wanawatesa wakongo kwa sababu ya utajiri wa madini....ila nkunda yeye katulia now.....yupo home arrest Kigali.Aisee, haya maisha si mchezo kabisa, wakati fulani huyu Bosco na wenzake walikuwepo hapa Tanzania na waliishi hotel fukani siitaji jina, wakati huo waliomba serikali ya Tanzania kufanya upatanisho kati ya kundi lao na serikali yao.
Hawa jamaa nilipata nafasi kufahamiana nao kutokana na shuguli zangu wakati huo na nilipata nafasi hadi kuongea na kubadirishana mawazo.
Although siku wanaondoka baada ya upatanisho wakiwa kwao ndipo nilishtuka kuwa na ukaribu na wale jamaa do, I've story fulani nasema na nafsi yangu natulia hadi leo 😁!.
Aisee yaani story ya masasi watu wanapigana uchi wanakata mauno mtu anaomba connection?!🙄WADAU WANAOMBA NIWASAIDIE CONNECTION MIMI SINA HIYANA WALA NYONGO.......ILA MAMBO SIO RAHISI KAMA YANAVYOSIMULIWA HUMU.....KAMA HAUNA UJASIRI NA UTHUBUTU USITAMANI KUINGIA HUKU HIVI VITU NI HATARI HATARI HATARI HATARI MNO KULIKO MAELEZO YA MWANDISHI MNGEJUA MSINGEOMBA CONNECTION SABABU NI HATARI MNO.
NB: Kwa wale wanaoniomba conection za waganga wa kienyeji na wachawi wa nyungu ili..wapate utajiri.....kusema kweli nawaonea huruma sababu risk zake ni kubwa kuliko utajiri wenyewe....jifikirieni mara mbili mbili msiingie sehemu mbaya na za hatari kwa tamaa za mda mfupi wadogo zangu.
[emoji2][emoji16][emoji16]Aisee yaani story ya masasi watu wanapigana uchi wanakata mauno mtu anaomba connection?![emoji849]
TrueWatoto wa down town mme hustler sana
Ah...wapi wewe nipe connection tu...haya maelekezo hayanitishi...they say huwezi kupata mafanikio bila ku take riskWADAU WANAOMBA NIWASAIDIE CONNECTION MIMI SINA HIYANA WALA NYONGO.......ILA MAMBO SIO RAHISI KAMA YANAVYOSIMULIWA HUMU.....KAMA HAUNA UJASIRI NA UTHUBUTU USITAMANI KUINGIA HUKU HIVI VITU NI HATARI HATARI HATARI HATARI MNO KULIKO MAELEZO YA MWANDISHI MNGEJUA MSINGEOMBA CONNECTION SABABU NI HATARI MNO.
NB: Kwa wale wanaoniomba conection za waganga wa kienyeji na wachawi wa nyungu ili..wapate utajiri.....kusema kweli nawaonea huruma sababu risk zake ni kubwa kuliko utajiri wenyewe....jifikirieni mara mbili mbili msiingie sehemu mbaya na za hatari kwa tamaa za mda mfupi wadogo zangu.
Hongera kwa andiko zuri ila unazidisha kujisifia shida na uloyapitia. Keep it cool mana hii simulizi ni motivation tosha na yaliyoko mtaani hakuna asoyaona.SIMULIZI ITAENDELEA NIPO NJIANI NARUDI KIGOMA........!!!!!
UNAJUA WADOGO ZANGU NIWAMBIE KITU KIMOJA.
VIJANA WA KITANZANIA TULIOTOKEA MAISHA YA KAWAIDA TUNAPAMBANA SANA NA HAMUWEZI KUELEWA.
TULIFIWA NA WAZAZI TUKIWA WADOGO..... NA BAADHI YA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALITUTENGA KIMAKUSUDI AU LABDA WALICHOKA KUTUSAIDIA.....HATUWALAUMU SABABU NA WAO WALIKUA NA MAISHA MAGUMU KAMA MNAVYOJUA MAISHA YA KITANZANIA.
MUNGU NI MWEMA MTAANI MABRAZA HAWAKUTUTENGA HIVYO HIVYO WALITUPA SUPPORT HATUWEZI KUWASAHAU JAPO WALITUFUNDISHA MEMA NA MABAYA.
*USHAURI USIO RASMI NO 1
VIJANA WA KISHUA HAMWEZI KUELEWA.
VIJANA MLIOPATA AJIRA ZA SERIKALINI SEHEMU NYETI HAMUWEZI KUELEWA,WENYEWE MNAJIITA WATU WA KWENYE SYSTEM.
VIJANA MLIOPEWA URITHI NA WAZAZI WENU HAMUWEZI ELEWA JINSI MLIVYO NA BAHATI.
PUNGUZENI KUWAHUKUMU SANA VIJANA AMBAO BADO WANAJITAFUTA
*USHAURI USIO RASMI NO 2
VIJANA AMBAO MLIPATA BAHATI YA KUPATA WATU WA KUWASHIKA MKONO HAMUWEZI KUELEWA.
MSIWASEME VIBAYA VIJANA AMBAO BADO HAWAJAFANIKIWA.
WASAIDIENI PALE MNAPOWEZA HAMUWEZI KUJUA KESHO.
**********************************
VIJANA WA KITANZANIA ACHENI KUWAAMINI SANA MOTIVATION SPEAKER KWENYE MITANDAO....97% WANAONGEA VITU VYA KUFIKIRIKA... . TAFUTENI MABRAZA WA KITAANI WAWAPE MIPANGO HALISIA.
VIJANA WA KITANZANIA WANAHITAJI KUPATA WATU WA KUWASHIKA MKONO NA KUWAONYESHA FURSA....ILA KIZAZI CHA SASA NI CHA WATU WABINAFSI...TOFAUTI NA SISI KIZAZI CHA MIAKA YA NYUMA.
ILA MSIFE MOYO WADOGO ZANGU......CHA MSINGI JIFUNZENI KUISHI NA WATU VIZURI SABABU.......WATU NDIO KILA KITU!!!!
ANGALIZO*
KUNA WATU WAKIWAADITHIA WALIPOTOKEA HAMUWEZI KUAMINI.....!!!
KWAHIYO USIWAHUKUMU
UKIONA WAMEKUA MATEJA
UKIONA WAMEFUNGWA JELA
UKIONA WAMEFIA UGHAIBUNI
UKIONA HAWAJAFANIKIWA.
USIPENDE KUWAHUKUMU VIJANA WA KITANZANIA WANAPITIA MENGI.
VILE VILE USISHOBOKEE SANA HELA ZAO....MAANA WANAJUA WALIPOZITOA.
TANZANIA NGUMU KAMA HAUNA CONNECTION.
TANZANIA NGUMU KAMA HAUNA WATU WA KUKUSAIDIA.....NA NI MUNGU PEKEE ANAYELETA BAHATI NA FURSA KWA VIJANA WA MTAANI.
**JAMII HAITUELEWI
JAMII HAITUELEWI SABABU HATUELEWEKI KUTOKANA NA HISTORIA YA NYUMA....!!!
KUSEMA KWELI TUSHAKUAGA VIBAKA.
TUSHAKUAGA WAHUNI WASIO NA AKILI.
TUSHATAPELI.
TUSHADANGANYA SANA.
TUSHADHULUMU SANA.
TUSHAWAINGIZA MJINI SANA WAZEE WA MIGODINI MPAKA TUNAJISIKIA HATIA NA AIBU KWENYE NAFSI ZETU.
JAMII INAYO HAKI YA KUTOTUELEWA VIJANA WA MTAANI NA WALA HATUILAUMU KWA HILO...TUNAOMBA MSAMAHA JAMII ITUSAMEHE
SABABU TULIANZIA NEGATIVE KWENDA POSITIVE.
MIMI NAHADITHIA HARAKATI ZANGU KUWATIA MOYO WADOGO ZANGU KUA MTAFUTAJI HACHOKI NA AKICHOKA BASI HUYO UJUE AMESHAPATA.
HAKUNA KUKATA TAMAA MUNGU YUPO.
KAMA WAO WAMEPATA UKWASI...BASI HATA SISI TUNAWEZA KUUPATA PIA HUO UKWASI.
MUNGU NI MWEMA.
Napambana - ZuchuHata kama nikiiba au niliiba sioni tatizo kikubwa nilimaliza matatizo yangu kwa wakati huo, halafu nilikoment baada ya kuwa nimehamasishwa na story ya mdogo wangu hapo juu maana kuna baadhi ya vitu alivyoandika navjiua na nilipita humo.
Hata ivo hio hata robo haifiki kwa niliyofanya ili mradi mkono uende kinywani, naanzaje kuwa malaika wakati toka niko darasa la nne sina muongozo, sina wazazi, ndugu hakuna anaejali? Huko kuiba ndio kumenifanya niepukane na umalaya pamoja na ukimwi.
Itakuwa kadakwa na Wabangubangu muda huu wanamfinya Kende
Nashusha wadau....msijaliItakuwa kadakwa na Wabangubangu muda huu wanamfinya Kende