Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Asante mkuu[emoji120]
 
Na hii ndio kanuni yangu. Naenjoy maisha kwerikweri.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu vijana wasasa wamekua yogo yogo mno, yaani hata mambo yanayo hitaji maamuzi kwa ufahamu wa kawida etiwanakuna kuandika uzi hapa...[emoji2369]
Lakini pia walisha kubaliana humu ndani kwamba wasioe...[emoji1787]
Basi nimikaunga mkono hoja...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Waambie wenzako tukutane kwenye PM yangu niwafunde. Mmekataa jando sasa mnataabika
 
Nimesoma tena

You sound desperate and confused

This is an essay to nowhere
Ndio mkuu ujakosea ulosema ndio hali niliyonayo sasa
Yani nina mchumba yupo chuo ndio anamaliza mwezi huu tangu nianze nae mahusiano kila nikimuomba sex anadai amebanana mpaka amalize chuo na shida zake namsaidia tu
Na kila mara ananiambia niwe mvumilivu eti akimaliza chuo nitafutahi Dah[emoji3064] japo nampenda naishia kupewa denda tu, naona kama atanizingua hila nimepanga akizingua atakutana na matokeo ya kibabe[emoji123] awezi sahau maishani mwake maana hela niliyo tumia kumgalamia ni ndefu sana.
 

Ndo maana wewe ni 26 na wao ni 40, na wao wakiwa 26 hawakuwasikiliza wa 40....

Kila kitu kishafanyika duniani, ni busara yako tu Kutumia uzoefu wa waliokutangulia....
 
Akili za kitoto.....mwanaume hakimbii matatizo,mwanamke ni kiumbe dhaifu lazima uweze kumcontrol.
Hao wakubwa hushauri ili kujenga ndoa na sio vinginevyo,wanayaona matatizo na kutoa ushauri wa busara wenye faida kwako wewe kukulindia heshma uendelee kuishi na mkeo na familia kwa ujumla,ukiwa unaacha wanawake mara tu wanapokukwaza utabaki peke yako.
 
Hakupendi

Tafuta pesa utawapata hadi wa chanikiwiti
 
Ndo maana wewe ni 26 na wao ni 40, na wao wakiwa 26 hawakuwasikiliza wa 40....

Kila kitu kishafanyika duniani, ni busara yako tu Kutumia uzoefu wa waliokutangulia....
Hata wapumbavu wanazeeka
 
Matatizo ya mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…