Shida kubwa kwa Tanzania ni kuwapata hao wa kwenda barabarani.
Isingekuwa hivyo, nami ningesema tuanze kesho.
Lakini kwa 2024/2025, nasema kama CCM itabaki kuendelea madarakani kwa njia yoyote ile, huo utakuwa ni muujiza wa kipekee sana.

Amekuambia hao watawala waliokinga mirija yao bandarini ni akina nani?Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.JPM alifanya trip kadhaa pale bandarini mara baada tu ya kuingia madarakani. Haikuwa kazi rahisi kuikata ile mirija pale.
Huyu mama ameingia madarakani akaanza kuwachekea hao wezi akidhani JPM alikuwa kichaa kuwanyoosha.
Sasa anadhani DPW watafanya nini? Shida ni yeye, amekuta mifumo imara kaamua kuibomoa kwa ushauri mbovu aliopewa na hao wezi waliotega mirija yao hapo.
As long as anaongoza nchi kwa kulipa fadhila kwa maswahiba asahau kuhusu ufanisi. Kwanini alimwondoa Kakoko pale? Nani alimshauri? Arejee hatua zake nyuma atawajua wabaya wake.
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
- Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
- DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
- Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
- Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Tatizo mnasumbuliwa na udini, chuki na roho mbaya.Kitendo cha DP world kuchukua njia zote kuu za kuiuchumi yafuatayo yatatokea:
1. Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu watahakikisha Rais lazima stoker upande wanaoutaka wao na mtu anayemtaka yeye.
2. Wakati wa uchaguzi mkuu watamwaga fedha Walizozichukua hapa hapa nchi kuvuruga uchaguzi Ili kumpata wanayemtaka.
3. CCM na DP world watakuwa wameingia ndoa ya kudumu hivyo mapato ya nchi yatakuwa yanamulikiwa na kutumika wanavyo Taka Hawa wawili.
4. DP world ina udini mkubwa kuliko CCM inavyo sema suala la kuepuka udini.
5. DP world itaingiza utawala wa kidini na ukitizama Lile lidude limesainiwa na waislam watupu.
6. Mkataba wa DP world ufutwe na uondolewe Tanganyika.
6. Awamu ya pili mzee mwinyi alitaka kuingiza nchi OIC na kelele zikawa nyingi hilo likafutwa, sasa huyu bibi kaja kwa mbinu ile ile ya mzee mwinyi ila kajia kuuza kila kitu kwa waarabu.
Tatizo mnajifanya kutunga mambo as if hamjui Bandari ni fupa gumu lilizozishinda Serikali karibu zote hapa nchini.Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
- Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
- DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
- Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
- Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW[emoji419][emoji375]Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
- Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
- DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
- Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
- Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Tatizo mnasumbuliwa na udini, chuki na roho mbaya.
Nani kasema DP World anachukua njia za uchumi za nchi? anachukuaje?
Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio Udini?Tatizo mnasumbuliwa na udini, chuki na roho mbaya.
Nani kasema DP World anachukua njia za uchumi za nchi? anachukuaje?
Hiyo si hata wewe unaweza kutengeneza tu.
Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio Udini?Hiyo si hata wewe unaweza kutengeneza tu.
Mkuu ule mkataba ulisainiwa na yule mama na kupitishwa na bunge , unafaa au haufai?watanzania tunajifanya wajuaji sana hata katika tusivyovijua, huu uzalendo tunaoutaka ushawahi kuua kiwanda cha Nyama cha Tanganyika Packers, tulimnyang’anya Mzungu aliyekuwa anaendesha kiwanda tukakiweka chini ya serikali ili tunufaike kikafeli baada ya Nyama za Tanzania kushindwa kununuliwa kwenye soko la dunia, Kumbe tuliyemtimua ndo aliyekuwa ameshika soko la Nyama huko Duniani. Dunia ya Sasa ni ya Ubepari na ubepari upo kuanzia maisha yetu ya kila siku, unaajiri mfanyakazi anazalisha milioni nyingi ila unampa kiduchu ya anacho zalisha, Mindset zetu zinatakiwa kukomaa na kuondoa uoga wa jinsi ya ku survive kwenye dunia ya ubepari
Wengine ni wapotoshaji hata hawaelewi chochote, taasisi zaidi ya 50% ya pato la taifa linapita kwenye mikono yake inaishiwaje bajeti?Hawana bajeti! Hela iliyokupwa juzi TU kwajili ya bandari imeenda wapi
Leo kiwanda kimekufa majengo yamebaki magofu tumeishia kumpa Mwamposa amegeuza kanisa.watanzania tunajifanya wajuaji sana hata katika tusivyovijua, huu uzalendo tunaoutaka ushawahi kuua kiwanda cha Nyama cha Tanganyika Packers, tulimnyang’anya Mzungu aliyekuwa anaendesha kiwanda tukakiweka chini ya serikali ili tunufaike kikafeli baada ya Nyama za Tanzania kushindwa kununuliwa kwenye soko la dunia, Kumbe tuliyemtimua ndo aliyekuwa ameshika soko la Nyama huko Duniani. Dunia ya Sasa ni ya Ubepari na ubepari upo kuanzia maisha yetu ya kila siku, unaajiri mfanyakazi anazalisha milioni nyingi ila unampa kiduchu ya anacho zalisha, Mindset zetu zinatakiwa kukomaa na kuondoa uoga wa jinsi ya ku survive kwenye dunia ya ubepari