Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

8 refa lawi alikuwa upande wa simba.
9 ande koffi ni bonge moja ya fullback
10 kennedy juma leo kazima fresh sana
11 simba bado wapo weak kwente transition....makosa yaliyo sababisha 5-1 bado yapo. Kocha ayafanyie kazi.
Sawa Kocha Wa Yanga Side Mjerumani.
 
Usisapoti Maneno Tupo Umechangia Sh'ngapi kwenye Huo Mpango wenu?
Kwani kwa suala la wachezaji wakigeni wao wana hangia shilingi ngapi?

Kwenye hizo hela za foreni pleyas wanazo charge ndio watumie kulete refa toka outside
 
8. Amefungwa Singida anatumia Utopolo
 
Timu ambayo haiko vizuri kwenye defence line ndio imefungwa goli chache zaidi kuliko timu zote,utopolo wasingesaidiwa na Kayoko sasa hivi kungekuwa na gap la point 7.Kwani utopolo baada ya kuwashauri ndugu zao wapeleke mechi Zanzibar ili wawafunge vizuri waliwafunga goli ngapi?
 
Sawa Gamondi sasa Mbona Ulifukuzwa kwenye Bendi ya Vyura Jazz?
 
Sasa Na wewe Mbona Unaharibu Wino kwa kuandika komenti ya Kutochukua Ubingwa kwa Simba Au ukinyamaza Watabeba kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…