Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mungu hayupoebu tufupishe suala, Kwahiyo wewe unamuogopa Mungu au Umuogopi? Au huamini pia kama kuna Mungu.
Kwa hiyo siwezi kuogopa kisicho kuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hayupoebu tufupishe suala, Kwahiyo wewe unamuogopa Mungu au Umuogopi? Au huamini pia kama kuna Mungu.
Mungu hayupo
Kwa hiyo siwezi kuogopa kisicho kuwepo
Kiukweli nimegundua wanaopinga uwepo wa Mungu wana argue kwa logic kubwa sana and very calmly, wafia dini wanatumia nguvu kubwa sana bila logic iliyoshiba.Mungu hayupo
Kwa hiyo siwezi kuogopa kisicho kuwepo
Hakika...Kiukweli nimegundua wanaopinga uwepo wa Mungu wana argue kwa logic kubwa sana and very calmly, wafia dini wanatumia nguvu kubwa sana bila logic iliyoshiba.
Utakuwa una matatizo ya uelewaLakini kiti chake cha enzi unakijua ??!!🤣🤣
Shukrani sanaUzi wako umeniongezea kasi ya kumuamini Mungu katika changamoto ninazopitia kwamba kama aliweza kuumba hayo yote basi anaweza kutatua mapito yangu.
Basi, me ungeniambia mapema nisingeangaika kujieleza.Mungu hayupo
Kwa hiyo siwezi kuogopa kisicho kuwepo
Utakuwa una matatizo ya uelewa
Hivi maana ya kuketi nini?Hivi ni mimi ndiye ninayo matatizo ya uelewa au ni wewe??.
Hebu angalia kwa makini; "kiti cha enzi", maneno hayo matatu yanawakilisha hadhi, wadhifa, utukufu, heshima, utawala nk wa mtu husika na kwa kiarabu ndio ARSHI na kwa kizungu ndio Throne, wewe unadai "kiti cha enzi" ni kiti HALISI, kiti halisi kwa kiarabu ni kursiyyu na kwa kimombo ni chair, sasa inatakiwa kuanzia leo ujue kuwa maneno; kiti cha enzi yanawakilisha sifa tajwa na hakuna kitu TANGIBLE kinaitwa "KITI CHA ENZI".
Ajabu ni kwamba unajadili kitu cha mtu ulichokiunda physically mawazoni mwako "mtu"ambaye kwako wewe hayupo wala hajapata kuwepo, kwako ilikuwa ni just simple useme kwamba kwakuwa mtu huyo hayupo hata kujadili kitu kinachosemwa kuwa ni mali yake haijuzu kwakuwa mtu huyo hayupo wala hajapata kuwepo, yaani unajadili mbeleko ya mtoto "hewa" ambaye hata mimba haipo!!!, naam unayo haki ya kujadili lakini jadili katika context iliyokuwa sahihi kwamba kiti cha enzi sio kiti kama sofa, stool au mbuzi ya kukunia nazi tunazotumia katika shughuli zetu za kawaida. Ni kwamba wewe unadai kiti cha enzi ni physical chair na sio Throne ili tu ujipatie hoja ya kukanusha uwepo wa Mungu.
Sasa hapo ni nani mwenye uelewa hafifu??
Kumbuka "kiti cha enzi" ni jina la sifa na sio jina la kitu.
Alafu tunazidi kuambiwa "ameketi kuume kwa baba"... there's no way hii mambo yote eti iko coded. Ni ile tu wanaona mambo yao haiwezkua proved ko wanaanza visingizio...Hivi maana ya kuketi nini?
Refer hii #"ameketi kwenye kiti cha enzi"#
Hivi maana ya kuketi nini?
Refer hii #"ameketi kwenye kiti cha enzi"#
Hoja yangu haipo katika maneno hayo matatu "kiti cha enzi"Hivi ni mimi ndiye ninayo matatizo ya uelewa au ni wewe??.
Hebu angalia kwa makini; "kiti cha enzi", maneno hayo matatu yanawakilisha hadhi, wadhifa, utukufu, heshima, utawala nk wa mtu husika na kwa kiarabu ndio ARSHI na kwa kizungu ndio Throne, wewe unadai "kiti cha enzi" ni kiti HALISI, kiti halisi kwa kiarabu ni kursiyyu na kwa kimombo ni chair, sasa inatakiwa kuanzia leo ujue kuwa maneno; kiti cha enzi yanawakilisha sifa tajwa na hakuna kitu TANGIBLE kinaitwa "KITI CHA ENZI".
Ajabu ni kwamba unajadili kitu cha mtu ulichokiunda physically mawazoni mwako "mtu"ambaye kwako wewe hayupo wala hajapata kuwepo, kwako ilikuwa ni just simple useme kwamba kwakuwa mtu huyo hayupo hata kujadili kitu kinachosemwa kuwa ni mali yake haijuzu kwakuwa mtu huyo hayupo wala hajapata kuwepo, yaani unajadili mbeleko ya mtoto "hewa" ambaye hata mimba haipo!!!, naam unayo haki ya kujadili lakini jadili katika context iliyokuwa sahihi kwamba kiti cha enzi sio kiti kama sofa, stool au mbuzi ya kukunia nazi tunazotumia katika shughuli zetu za kawaida. Ni kwamba wewe unadai kiti cha enzi ni physical chair na sio Throne ili tu ujipatie hoja ya kukanusha uwepo wa Mungu.
Sasa hapo ni nani mwenye uelewa hafifu??
Kumbuka "kiti cha enzi" ni jina la sifa na sio jina la kitu.
Unaogopa?Basi, me ungeniambia mapema nisingeangaika kujieleza.
Kama kila kitu sio lazima kiwe na chanzo basi hata ulimwengu hauna chanzo
Kama unakubali akili zetu haziwezi kufikiria kwa usahihi kwasababu ziko limited, utajuaje kuwa hata hilo wazo la kusema muumbaji wa ulimwengu ni Mungu sio muendelezo ule ule wa kufikiria majibu yasio sahihi?
Kabla ya kusema kumuamini Mungu hapo unakuwa umeruka vipengele baadhi ambavyo havijaonesha namna gani umefika hapo
Umejuaje kuna Mungu ambaye anapaswa kuaminiwa?
Ni akili ipi uliyoitumia kujua hilo?
Katika maswali yako uliyojiuliza kuhusu hatma ya ulimwengu nakujibu kwa kukupa maswali zaidi
Hapa nachukua upande wa dini ambao najua wengi ndio mnasimamia
Dini zimesema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na ardhi
Kumbuka huo ni mwanzo, unaweza kujiuliza kabla ya mwanzo kulikuwaje?
Kama mwanzo umeanza na Mungu kuumba mbingu na ardhi, je huo sio mwanzo wa uwepo wa Mungu pia?
Kama Mungu alikuwepo kabla basi huo sio mwanzo
Lakini utajiuliza tena alikuwa akiishi wapi maana mbingu na ardhi kaviumba leo ambayo ndio mwanzo, na yeye wansema ni wamilele. Alikuwa akiishi wapi?
Haya huko pia alipokuwa akiishi kuliumbwa na nani?
Na kama kulikuwa kuna sehemu anaishi bado tu hii ya ulimwengu na ardhi itaendelea kuhesabika kama mwanzo?
Au tuseme ni mwanzo wa uumbaji na tukubaliane kwamba hakukuwa na uimbaji mwingine uliotangulia kabla ya huo?
Hapo kuna maswali mengi magumu naomba tupaache tuelekee section ya pili na huwezi kukuta pastor ana hubiri hoja tata kama hizo
Haya tujiulize mazingira ya uumbaji yalivyofanyika
Mfano leo hii ukitaka kuchimba shimo lazima utaanzia juu ya ardhi, nikiwa na maana kwamba utasimama ukiwa hapo na likikamilika utaweza kuingia ndani
Leo hii ukimkuta mtu yupo shimoni baada ya kuchimba shimo itakuwa ni rahisi kufikiria kuwa kabla ya kuingia shimoni kulikuwa na ardhi ambayo iko level ambapo hapo ndio alisimama akachimba mpaka kutengeneza shimo
Sasa Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?
Huwezi kufikiria aliumba ulimwengu akiwa ndani ya ulimwengu kwasababu itaonekana hapo anaufanyia repair kwa maana ya kwamba ulikwisha jengwa
Kila kitu sio lazima kiwe na chanzo, yes but ulimwengu una chanzo. Hata wanasayansi wanathibitisha kuwa ulimwengu wetu huu ulianza miaka bilioni 13 iliyopita (big bang theory).
Mungu ndio hana chanzo, ambapo nimekuambia kuwa kwa akili yako dhaifu haiwezi comprehend Hilo.
Pia kumbuka sio lazima kuwa ulimwengu kuwa ndio sehemu pekee ambayo existence inaweza kuwepo. Ushawahi kujiuliza kuwa ulimwengu una mipaka? Kama ipo, iyo mipaka itakuwa inatenganisha ulimwengu na Nini? Kama ulimwengu hauna mipaka, then utakuwa unaextend Hadi wapi?
Tunatambua uwepo wa Mungu kwa sababu Mungu mwenyewe katupa ishara juu ya uwepo wake. Katika Qur'an Mungu anatumbia tuangalie jinsi alivyoumba mbingu (universe), na jinsi alivyoipendezesha mbingu ya chini na nyota (observable universe). Hizi ishara nimezielezea kwa undani katika post yangu and infact ishara ziko nyingi, kuna wanyama, bahari, milima, miti na vyengine (every designing implies designer).
Shida ni akili yako ambayo haiwezi comprehend kuwa Kuna vitu havina mwanzo na Kuna kuna space outside universe kwasababu hata wanasayansi wanakadiria kuwa Kuna uwezekano Kuna zaidi ya ulimwengu mmoja (multiverse).
Kwenye mfano wako wa shimo, sio lazma mchimbaji aingie shimoni, Mungu anatuambia kuwa yeye ni mkubwa sana zaidi ya universe. Kwaiyo kwenye mfano wako wa shimo na mchimbaji haviwezi kuendana. Chukulia mfano wa mtu anavyotengeneza mpira, si lazima aingie katika huo mpira, afterall nani kakuambia Mungu katengeneza ulimwengu kwa mikono yake.
Mungu, anasema elimu aliyotupa ni ndogo Sana, sehemu ambayo tumeigundua katika ulimwengu ni ndogo sana. Tuna LIMIT kujua baadhi ya vitu na vitu vingi hatuvijui, science inathibisha Hilo.
Kiyasansi Mungu hayupo. Lakini kwa elimu zingine zinathibitisha Mungu yupo.
Sayansi haina uwezo wa kujibu KILA kitu, hadi SAsa imejibu asilimia 10 tu ya mambo yaliyopo. 90 ya mambo imeshindwa yamejibiwa na elimu zingine.
Napata mashaka kujua kama umeelewa hata nilicho kiandika.
Serikali kupoteza kiasi kikubwa katika bajeti ya kufanya utafiti wa anga ni jambo jingine, na serikali kupoteza kiasi kikubwa kufanya utafiti wa anga kwa ajili ya ku prove habari za dini ni habari nyingine
Hoja yako ni ipi?
Kwamba mataifa makubwa yamekuwa yakipoteza kiasi hicho cha pesa kufanya research za anga kwa lengo la ku prove madai ya dini?
Harry potter, Spiderman na habari za Mungu ni the same book on different page
Kama unauliza kwanini Sayansi haifanyi utafiti kuhusiana na habari za Mungu unabidi ujiulize ni lini Sayansi ilifanya utafiti wa kujua Spiderman na Harrypotter wapo
Hivi unaelewa mwaka ni mjumuisho wa siku zaidi ya 300?
Unaelewa ili siku itimie ni lazima tupate mzunguko wa dunia na huo mzunguko lazima uhusishe jua na mwezi
Sasa kwa mujibu wa vitabu vyenu vimesema jua na mwezi viliumbwa siku ya tatu, kimantiki hiyo imekaaje?
Siku tatu ziliwezaje kupita wakati jua na mwezi hakikuwepo?
Kwenye ishu ya musa umesema inawekezana? Yaani umekubali kuwa kwa siku walikuwa wanatembea sentimita 30 usawa wa rula anayotumia mwanafunzi wa darasa la sita?
Huo ni uvivu au namna gani mzee?
Maana hata ukiwa na enka sidhani kama utatembea kwa spees hiyo
Kama Qur'an isingeandika baadhi ya aya zake katika muundo wa tamathali hiyo Qur'an nadhani ingekuwa na uzito wa zaidi ya tani kumi.
Thamathali makes a person use his/her mental power thus exercises his brain apart from gaining desired lessons.
Hoja yangu haipo katika maneno hayo matatu "kiti cha enzi"
Hoja yangu ipo kwenye sentesi kamili "ameketi kwenye kiti cha enzi"
Lakini nimekuambia swala hilo ni kitendo cha kukaa kutokana na kwamba huyu Mungu ameelezwa sehemu tofauti tofauti zinazo thibitisha yuko physically
Mfano katika uumbaji, huyu Mungu alikuwa ana tamka kitu fulani kiwe na kina kuwa.
Hapo ni mdomo ulikuwa unatumika, hakuna namna unaweza kutafuta maneno ya kuunga useme haikumaanisha hivyo
Kwenye stori hiyo hiyo ya uumbaji alipofika hatua ya kumuumba mtu alichukua udongo kwa mikono yake mwenyewe kisha akaufinyanga na baada ya kukamilisha akaupulizia pumzi.
Hivyo vyote ni vitendo physically vinavyoonesha Mungu ana mdomo na mikono aliyotumia kufinyangia udongo.
Na ndio maana baada ya kukamilisha uumbaji wa mtu akasema amemuumba kwa mfano wake.